Na imani wengi mmeboreka leo kama mimi..................

Na imani wengi mmeboreka leo kama mimi..................

FirstLady1

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2009
Posts
16,789
Reaction score
5,417
Sina hamu ya kupost ,sina hamu ya kazi ...kichwa hakifanyi kazi kabisa ..
May .....Jun,July August,Sept....October ......October ...

Hapa sijui anawaza nini??
kikwetejk1bc.jpg
 
awze nini na yeye kazi yake kumeza na kutema baada ya kutafuniwa??
 
Sina hamu ya kupost ,sina hamu ya kazi ...kichwa hakifanyi kazi kabisa ..
May .....Jun,July August,Sept....October ......October ...

Hapa sijui anawaza nini??
kikwetejk1bc.jpg

Pole sana FL1, wengine tulianza toka jana.

Nilipatwa na kwikwi ya ajabu pale nilipomskia JK akitoa mfano wa Mbayuwayu.
 
Pole sana FL1, wengine tulianza toka jana.

Nilipatwa na kwikwi ya ajabu pale nilipomskia JK akitoa mfano wa Mbayuwayu.
Kwangu imekuwa mbaya zaidi Dark City nimepata mawazo natamani kugeuza usiku kuwa mchana...
 
awze nini na yeye kazi yake kumeza na kutema baada ya kutafuniwa??

BHT SIJUI KWA NINI IMENIGUSA KIIVI ...kweli kuna watu wanajua kuharibu siku za wenzao ...
2005 sijui kwa nini nilimpigia kura sikujua kama yatakuwa haya najuuuuuuuuuuuuuuuuuta kutoa kura yangu ya ndio
 
Dada yangu baada ya aibu ya jana unadhani huko upstairs kwa huyu jamaa kuna kitu cha maana kweli?
 
lakini wakuu,
jk naona kama yupo right
 
Kwangu imekuwa mbaya zaidi Dark City nimepata mawazo natamani kugeuza usiku kuwa mchana...

Pole sana. Nenda kapumzike, kwani mgomo hakuna. Tumepona virungu vya Fanya Fujo Uone (FFU)!! Hakuna mgoma Tanzania labda mtu agome kuingia kwenye jeneza!
 
Mimi ndio muajiri mkuu..masikio yangu yalisikia mimi ndio mnyonyaji mkuu wa watumishi wa umma
 
BHT SIJUI KWA NINI IMENIGUSA KIIVI ...kweli kuna watu wanajua kuharibu siku za wenzao ...
2005 sijui kwa nini nilimpigia kura sikujua kama yatakuwa haya najuuuuuuuuuuuuuuuuuta kutoa kura yangu ya ndio

Kweli? Kama ulipingia kura basi inabidi tukugomee wewe.

How could u do that? What deceived u? Au hiyo sura mfano wa avatar ndo ilikuingiza mkenge? Naona ulikuwa na malaria kichwani wakati huo na sasa amkupatia dawa mseto. Najua wengi sasa wataanza kupona!
 
BHT SIJUI KWA NINI IMENIGUSA KIIVI ...kweli kuna watu wanajua kuharibu siku za wenzao ...
2005 sijui kwa nini nilimpigia kura sikujua kama yatakuwa haya najuuuuuuuuuuuuuuuuuta kutoa kura yangu ya ndio

ndo pakujifunza hapo
kutenda kosa sio kosa, kosa kulirudia kosa mamii
 
Kwanza wafanyakazi wako laki tatu na nusu tu...moyoni JK anasema "kwa Tanzania iliyojaa mijinga jinga kibao hizo kura si chochote".
 
mkuu,
mimi naamini jeikei yupo right kabisa

umekula mchana mpwazz????

najitolea kukupeleka late lunch................twende basi, washa tuktuk
 
Mimi nadhani sasa umefika wakati wa kutafuta mtu mwingine tumpe dhamana hii, huyu bwana sasa naona kalewa madaraka. kweli tukimpa tena kura zetu huyu bwana basi hatuna haki tena ya kumlaumu mtuuu
 
umekula mchana mpwazz????

najitolea kukupeleka late lunch................twende basi, washa tuktuk
hahahahaha!
naogopa mafoleni na mahasira ya tukta.....

NB:hivi bina,
JAMAA WALIKUWA WANADEMAND YA ONGEZEKO LA ASILIMIA NGAPI VILE?
 
Jamani samahanini kidogo, hivi ni maneno gani alisema JK? Sikuwa karibu na vyombo vya habari.
 
hahahahaha!
naogopa mafoleni na mahasira ya tukta.....

NB:hivi bina,
JAMAA WALIKUWA WANADEMAND YA ONGEZEKO LA ASILIMIA NGAPI VILE?

Nimsaidie..kima cha chini 315,000
 
Back
Top Bottom