Na imani wengi mmeboreka leo kama mimi..................

Na imani wengi mmeboreka leo kama mimi..................

Naombeni kufanya meeting na nyie nje ya JF ana kwa ana tuliweke hili swala sawa sawia .....
 
Nikianza kijiwe cha kuuza mboga mboga kwa mwaka nakatwa asilimia ngapi?
 
Kama alijifanya kutishia nasi tukafyata mkia basi ka win.

Pengine maamndamano yetu yasingechagua mtaa na hiyo WEF conference ingekula kwake.
 
Jamani samahanini kidogo, hivi ni maneno gani alisema JK? Sikuwa karibu na vyombo vya habari.

1. Kima cha chini wanachotaka TUCTA (315000) hakilipiki, hata wakigoma miaka 8
2. TUCTA wametumwa na upinzani
3. Kama ni kura zao basi keshazikosa, atapata za wengine (wajinga).
4. Viongozi wa TUCTA ni waongo, wazushi na ... (kaongeza na mipasho ya kikwere hapo)
5. Mgomo ni batili, atakayegoma lazima afinyangwe na FFU, ikibindi awe na plast mara moja au ndani ya jeneza (vyote ruksa)
6. Vicheko vya ajabu ajabu
7. Makofi kutoka kwa wazee wa DSM walikuwa kwenye uniform za kijani na njano (wengine hawakuwa na viatu)....
 
kwani mgomo wa kugomea mgomo hauwezekani?napenda sana kupata taarifa za classmates wa huyu KJ sijui JK wanijuze kama huko nyuma alikuwa anasimama yeye kama yeye au ndo hivi tangu zamani.jana aliniboa japo si sana kama wale wazee waliokuwa wakifurahia nonsense cuz wat i believe sometimes unaongea pumba na unajua pumba lakini unaangalia hadhira wataipokea vipi hiyo pumba..nilikuwa naamini mvi ni busara ila wazee wetu wa jana wametuaibisha.kiongozi wa nchi unasema mapato madogo kwanini usichukue hatua kama kupunguza matumizi ya viongozi kama wabunge,makatibu wakuu n.k katika allowances na zile V8 zao pia ikumbukwe katika bajeti ya safari za viongozi nje ya nchi iliongezwa..hii ni aibu ya taifa!
 
sasa kutoka 80,000 hadi hiyo ni asilimia ngapi wakuu?

Ni kutoka 104,000 hadi 315,000 asilimia tafuta mwenyewe mbona umezing'angania huna calculator ?
 
Ni kutoka 104,000 hadi 315,000 asilimia tafuta mwenyewe mbona umezing'angania huna calculator ?
sina kalkuleta mkuu,
naomba nisaidie na ningependa ujibu wewe
 
Kiongozi GEFF... Naomba PATA break FAST kwanza Tafadhali.. Je hiyo 80,000/= wewe kama wewe unaitumia kwa masaa mangapi?.. Mwenzako anatakiwa aitumie kwa siku 30. naomba USIKWAZIKE PLS.
 
Kama alijifanya kutishia nasi tukafyata mkia basi ka win.

Pengine maamndamano yetu yasingechagua mtaa na hiyo WEF conference ingekula kwake.

Unaelekea karibu na ukweli vile .....
 
sina kalkuleta mkuu,
naomba nisaidie na ningependa ujibu wewe

Mhh, siamini kama ni wewe? Au jana ulienda kumsikiliza mkulu na kuonja pilau? Njaa kitu cha hatari bro, inawezekana mambo yako yake kwenye waiting list (priority side). Vinginevyo hizo hesabu ungeshafanya siku nyingi na kuongeza zile alama zenu kama hizi ∫fx.
 
Mi jana almanusula nijitundike maana sikuona raha ya maisha tena, ila malaika akaniambia wakati wa ukombozi ni sasa na hakuna marefu yasiyokuwa na ncha, kwani si JK atamaliza muda wake? Tumuombe Mungu atupe rais muelewa na mpenda watu sio mnafiki na dikteta.
 
villa patafaa mpwa?

Villa panafaa sana Geoff tukishindwa kupata maelewano tunaagiza supu ya vichwa vya samaki

nasikia ukipata supu ya kichwa cha samaki akili yako inakuwa active always labda tumshauri na naniii aanzishiwe dose ya supu ya samaki na karanga ,....
 
Kiongozi GEFF... Naomba PATA break FAST kwanza Tafadhali.. Je hiyo 80,000/= wewe kama wewe unaitumia kwa masaa mangapi?.. Mwenzako anatakiwa aitumie kwa siku 30. naomba USIKWAZIKE PLS.
mimi mshahara wangu ni mdogo sana ndugu,na nina maisha magumu sana
SWALI LANGU!ni ongezeko la asilimia ngapi hapo?
 
Hapa anawaza "hawa lazima ni kina Sumaye, Mkapa, Dk Salim na wengineo wananifatafata ndio maana kuna tishio la mgomo.......ngoja ntawafungulia kesi ili kuwasaulisha wananchi udhaifu wangu.........

Sina hamu ya kupost ,sina hamu ya kazi ...kichwa hakifanyi kazi kabisa ..
May .....Jun,July August,Sept....October ......October ...

Hapa sijui anawaza nini??
kikwetejk1bc.jpg
 
Vita ni vita Mura....!!!!!

 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom