Na imani wengi mmeboreka leo kama mimi..................

Alifikiri kuongoza nchi ni sawa na kuongoza kundi la mdundiko au mchiriku?
sina hamu ya kupost ,sina hamu ya kazi ...kichwa hakifanyi kazi kabisa ..
May .....jun,july august,sept....october ......october ...

Hapa sijui anawaza nini??
kikwetejk1bc.jpg
 
Mhh, siamini kama ni wewe? Au jana ulienda kumsikiliza mkulu na kuonja pilau? Njaa kitu cha hatari bro, inawezekana mambo yako yake kwenye waiting list (priority side). Vinginevyo hizo hesabu ungeshafanya siku nyingi na kuongeza zile alama zenu kama hizi ∫fx.
mkuu,
mimi naomba niambiwe,
kutoka 104,000 mpaka 315,000 ni ongezeko la asilimia ngapi?
na kwanini mgomo UMESITISHWA?
 
Muziki huu Wafanyakazi unanikumbusha Orchestra Super Mazembe na Muziki murua wa Shauri Yako, Wafanyakazi lazima waelewe na watafakari nyimbo hii?
Nilikueleza hata mama, (How do I explain this to you my lady)
Fatou, wangu mama (*2 Fatou, my lady)
Mapenzie ya kwetu (This love of ours)
haita tawi hata mama (*2 will not survive much longer my lady)
Tabia yako na yangu (Your character and mine)
haisikilizani (*2 do not 'listen' to each other (or, alternatively, "are incompatible"))
Unaona (You need to understand)
unaona sasa we mama (you need to understand My lady)
Unapenda kuvaa (You like to dress well)
Mimi sina namna Fatou we (I have no way to support that)
Unapenda kula vizuri (You like to dine well)
Mimi sina pesa oh Fatou we (I have no money oh Fatou)
Nipe mali (Borrowing money)
Sizoe (I do not want to become a regular at this)
Niuwe mutu (Kill someone)
Nipate dawa ya feza (So that I can find a way to wealth)
Niuwe mutu (Kill someone)
Watanifunga (the man will surely lock me up)
Niuwe mutu (Kill someone)
Thambi kwa Mungu Baba (That is a sin aganist the Lord God)
---
Kama hunipendi we (If you do not love me as I am then)
Uende lote mama (Be completely gone my lady)
--- *2
Shauri yako *4 (Its your problem *4)
Shauri yako (Its your problem)
Wende lote Zena wangu (Be completely gone my Zena)
Siwezi kuua mutu mama (I cannot kill a soul my lady)
Thambi kwa Mungu Baba (Thats a sin aganist the Lord God)
Wende zote Zena wangu (Be completely gone my Zena)
Niibe mali (If I steal)
Watanifunga (the man will surely lock me up)
Niuwe mutu (Kill someone)
Thambi kwa Mungu Baba (Thats a sin aganist the Lord God)
---
Kama hunipendi we (If you do not love me as I am then)
Uende lote mama (Be completely gone my lady)
--- *2
Kama hunipendi bibi yangu (If you do not love me my wife)
urudi kwenu mama (Go back to your family my lady)
Kama hunipendi (If you do not love me)
uniwache yangu (Leave me and mine)
Kama hunipendi (If you do not love me)
Sheri Mama wende lote (Sheri my lady be gone)
Ohhh wende lote mama *4 (Ohhh,my lady be gone)
Ohhh Zena wangu (Ohhh my Zena)
Uende lote mama *8 (Be completely gone my lady *8)
Zena wangu (My Zena)
Mtoto wa kwetu (Child of ours)

Pole FL natumai utakuwa balozi mzuri kwa wakinamama wenzako kuwaelezea kuwa huyu jamaa hafai maana kama ijulikanvyo nyie ni wengi na wepesi kushiriki kikamilifu katika kupiga kura. Mungu akupe uwezo na ujasiri.
 
naahidi mbele ya mungu kuwa barozi mzuri zaidi nitajitahidi kutumia fursa yangu kuwambia kina mama yule tuliyemuona ni handsome boy hafai ...ni tabasamu la usoni tu na si moyoni!
 
Simbamwene asante sana kwa kunikumbusha very far from here !
 
Hii inadhihirisha yaliyokwisha semwa kwamba hata na JK kama mkapa siyo raia halisi wa Tanzania
 
Madai ya TUCTA ni ngumu kutekelezeka wakuu...Ni vigumu kuongeza 200.012% kwa wakati mmoja kwa nchi yenye uchumi wa kubangaiza kaka Tanzania.....Binafsi niko pamoja na mhishimiwa sana Rais....Madai ya TUCTA hayatekelezeki....ukweli ndo huo(japo unauma)....Hata ingekuwa ni serikali ya chama gani isingweza kupandisha mshahara kwa 200.012% at par..ngumu sana....Ni bora waendelee tu kukaa na kubargain....watapata suluhisho tu...Ni mtazamo tu
 
Simbamwene asante sana kwa kunikumbusha very far from here !
FL , Nisamehe sana sina lengo la kukutoa nje ya mada yetu, ila wafanyakazi ningependa waelewe kuwa Serikali ndio imewapiga kibuti, kwa lugha ya mjini, na kimuziki waende lose mama, kama muziki wa shauri yako serikali haiwezi kuuwa mtu kwa ajili yao, tabia zao haziendani nayo? Lakini vilevile serikali inatakiwa itambue ahadi yake ya maisha bora kwa kila mtanzania? Na Wafanyakazi kudai Tshs. 315,000 ni moja ya ahadi ya Maisha bora kwa kila Mtanzania?
 
Kama alijifanya kutishia nasi tukafyata mkia basi ka win.

Pengine maamndamano yetu yasingechagua mtaa na hiyo WEF conference ingekula kwake.

Ten huu ndo ulikuwa wakato mwafaka kweli asingerusha mabomu bana hii mijamaa ya TUCTA hovyo kabisaa
 
Hivi hapa Dar, kuna Mgahawa au Baa ambayo ukimaliza Chakula au Kinywaji unavunja Sahani/Glass?? Nina Stress nisaidieni...
 
Madai ya TUCTA ni ngumu kutekelezeka wakuu...Ni vigumu kuongeza 200.012% kwa wakati mmoja kwa nchi yenye uchumi wa kubangaiza kaka Tanzania.....Binafsi niko pamoja na mhishimiwa sana Rais....Madai ya TUCTA hayatekelezeki....ukweli ndo huo(japo unauma)....Hata ingekuwa ni serikali ya chama gani isingweza kupandisha mshahara kwa 200.012% at par..ngumu sana....Ni bora waendelee tu kukaa na kubargain....watapata suluhisho tu...Ni mtazamo tu

Hubby u are right, asilimia 101 mshahara hauwezi kuongezeka kwa kasi hiyo, lakini hawawezi kuweka japo nyongeza amabyo ni decent kidogo jamani? dai kama la kodi je??
n aufedhuli wake wa kuongea jana umenikwaza sana.

ujeuri na dharau ya namna ile sikuipenda hata chembe. They he presented his speech made me hate him even more!!!
 
Hivi hapa Dar, kuna Mgahawa au Baa ambayo ukimaliza Chakula au Kinywaji unavunja Sahani/Glass?? Nina Stress nisaidieni...

Tusker huku mbona ingekuwa balaaa, nahisi wengi huko ndo kungekuwa sebuleni kwa wengi.

hiyo labda uende kwa Madiba
 
Madai ya TUCTA ni ngumu kutekelezeka wakuu...Ni vigumu kuongeza 200.012% kwa wakati mmoja kwa nchi yenye uchumi wa kubangaiza kaka Tanzania.....Binafsi niko pamoja na mhishimiwa sana Rais....Madai ya TUCTA hayatekelezeki....ukweli ndo huo(japo unauma)....Hata ingekuwa ni serikali ya chama gani isingweza kupandisha mshahara kwa 200.012% at par..ngumu sana....Ni bora waendelee tu kukaa na kubargain....watapata suluhisho tu...Ni mtazamo tu

Ukubwa wa asilimia umelelewa na ahadi za matumaini na ulaghai wa serikali wa muda mrefu kwa wafanyakazi...sasa wafanyakazi wameamka serikali inashusha mkwara mzito wa plasta.
 
Twendeni tukapumzishe akili kidogo
hivi kesho ndo 05-05-2010 tarehe iliyopangwa mgomo??
 
Back
Top Bottom