Shoctopus
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 3,434
- 1,985
Nimewaona jijini Dar kitambo ila sina hakika kama ni panzi wa kawaida.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao ni Nzige wa awamu ya 5,tunawapeleka CHATO Buligi na hapo Magogoni.Nimewaona jijini Dar kitambo ila sina hakika kama ni panzi wa kawaida.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo ni hatari mkuu yananuka yakitoboka...Hayo si ndo mapanzi yakitoboka yananuka hatar
Sawa maendeleo hayana chamaHao ni Nzige wa awamu ya 5,tunawapeleka CHATO Buligi na hapo Magogoni.
Kuvutia watalii?Hao ni Nzige wa awamu ya 5,tunawapeleka CHATO Buligi na hapo Magogoni.
Nimewaona jijini Dar kitambo ila sina hakika kama ni panzi wa kawaida.
Sent using Jamii Forums mobile app