Na hawa nao ni nzige?

Na hawa nao ni nzige?

Shoctopus

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2015
Posts
3,435
Reaction score
1,995
Nimewaona jijini Dar kitambo ila sina hakika kama ni panzi wa kawaida.

IMG_20200210_185005.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo ni madungaembe kama ulikua unayasikia tu
 
Mburumundu hao, wapo wengi maeneo ya morogoro pia, sidhani kama wanashida hao.
 
Back
Top Bottom