Nzige kuvamia Dodoma ni ishara ya kiroho. Tujiandae

sportstore

JF-Expert Member
Apr 5, 2023
454
1,612
Nzige wakivamia katika nchi ni ishara jambo kubwa linakwenda kutokea na kutikisa Taifa ni ujumbe mnapewa kuwa jambo li karibu maana nzige huwa wanakuja kabla ya jambo lingine kubwa kutokea.

Hakuna wakati muhimu kama huu wa kuliombea Taifa.
FB_IMG_1698352189127.jpg
 
Hakuna wakati muhimu kama huu wa kuliombea Taifa.

1 Wafalme 8:37-49

37 Ikiwa nchi imeingia njaa, au tauni, au ukosefu wa mvua, au ukungu, au nzige, au panzi; ikiwa adui wamewahusuru katika nchi ya miji yao; au ukiwapo msiba wo wote, au uele wo wote;
38 maombi yo yote au dua yo yote ikifanywa na mtu awaye yote, au na watu wako Israeli wote pamoja, watakaojua kila mtu maradhi ya moyo wake, na kuikunjua mikono yake kuielekea nyumba hii;
39 basi, usikie huko mbinguni, makao yako, ukasamehe, ukatende, ukampe kila mtu kwa kadiri ya njia zake; wewe ujuaye moyo wake; (maana wewe peke yako ndiwe uijuaye mioyo ya wanadamu wote);
40 ili wakuche wewe siku zote watakazoishi katika nchi uliyowapa baba zetu.
41 Hata na mgeni naye, asiyekuwa mmoja wa watu wako Israeli, atakapokuja kutoka nchi iliyo mbali sana kwa ajili ya jina lako;
42 (maana watasikia habari za jina lako kuu, na za mkono wako ulio hodari, na za mkono wako ulionyoshwa); atakapokuja na kuomba kuielekea nyumba hii;
43 basi, usikie huko mbinguni, makao yako, ukatende kwa kadiri ya yote atakayokuomba mgeni huyo; ili watu wote wa dunia wapate kulijua jina lako, na kukucha wewe kama watu wako Israeli, nao wajue ya kuwa nyumba hii, niliyoijenga, imeitwa kwa jina lako.
44 Ikiwa watu wako watoka kwenda kupigana na adui zao, kwa njia yo yote utakayowapeleka, wakikuomba, Bwana, kuuelekea mji huu uliouchagua, na nyumba hii niliyoijenga kwa jina lako;
45 basi, uyasikie huko mbinguni maombi yao na dua yao, ukaitetee haki yao.
46 Ikiwa wamekutenda dhambi, (maana hakuna mtu asiyetenda dhambi), hata ukawaghadhibikia, ukawatia katika mikono ya adui zao, wawachukue mateka mpaka nchi ya adui zao, iliyo mbali au iliyo karibu;
47 basi, wakijirudia nafsi zao katika nchi ile watakayochukuliwa mateka, wakitubu, na kukusihi katika nchi ya hao waliowachukua mateka, wakisema, Tumekosa, tumefanya ukaidi, tumetenda maovu;
48 watakaporejea kwako kwa mioyo yao yote, na kwa nia zao zote, katika nchi ya adui zao, waliowachukua mateka, wakikuomba, kwa kuikabili nchi yao, uliyowapa baba zao, na mji huu uliouchagua, na nyumba hii niliyoijenga kwa jina lako;
49 basi, uyasikie maombi yao na dua yao, huko mbinguni, makao yako, ukaitetee haki yao;
 
Nzige wakivamia katika nchi ni ishara jambo kubwa linakwenda kutokea na kutikisa Taifa ni ujumbe mnapewa kuwa jambo li karibu maana nzige huwa wanakuja kabla ya jambo lingine kubwa kutokea.

Hakuna wakati muhimu kama huu wa kuliombea Taifa.
View attachment 2794117
Poleni wana mpwapwa, an agricultural productive district
 
Nzige wakivamia katika nchi ni ishara jambo kubwa linakwenda kutokea na kutikisa Taifa ni ujumbe mnapewa kuwa jambo li karibu maana nzige huwa wanakuja kabla ya jambo lingine kubwa kutokea.

Hakuna wakati muhimu kama huu wa kuliombea Taifa.
mnapewa kuwa jambo li karibu maana nzige huwa wanakuja kabla ya jambo lingine kubwa kutokea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom