Dude NK are interesting commies.
That they are! They are not called the Hermit Kingdom for nothing.
Not good at inventions at all, if you look at the military you will see that their arsenal is antique.
Just about everything of theirs is antiquated. And yes, that includes their Mickey Mouse threats also. But I must admit they (their threats and fiery rhetoric) are funny as hell.
Lakini ubabe walionao na vitisho vyao are real.
Wana ubabe gani hao? Their bark has always been worse than their bite. Nothing more, nothing less.
Ukibahatika kufika Seoul utajua kuwa mkwara wao si mchezo.
Seoul nimefika mara kadhaa na sikuona chochote kile cha kutisha kutoka kwa hao majirani zao. Sana sana niliona vikaragosi vya kuchekesha kuhusu hao akina Kim.
Kuna siku nilizinguka Seoul na kuangalia mji ulivyokaa na watu wake +10 milion, world class hardware and lots of businesses na ukaribu wake na firing squad za DPRK.
Well, hata Pyongyang haipo mbali kivile na makombora ya South Korea yenye uwezo wa kui-flatten ndani ya siku moja tu. Umbali wa hiyo miji mwili ni takriban maili 120 hivi.
Ila hiyo miji miwili ni usiku na mchana. Seoul ni world class city na Pyongyang....sina hata adjective ya kuielezea.
Inasemekana na wenyewe (NK) huwa wana mgao wa umeme kama sisi. So go figure.
The irony is, If US drops a nuke to DPRK today the only thing they can do is kill poor farmers withoutr causing any economic demages.
That's right because there is no economy worthy of damaging to begin with. I mean, other than labor concentration camps, what's there? Do they even have bars? Restaurants? Malls? Office parks? Casinos? Strip joints?
To nuke them is to add unnecessary misery to the yokels and the hoi polloi at large.
In fact gharama ya bomu moja la US kwa DPRK ni kubwa kuliko hasara yoyote inayoweza kusababishwa ardhini. There is nothing much to attack or destroy there.
I wholeheartedly agree with you on this one. Other than human beings, there is nothing else of significant value there.
I feel sorry for those people for being cut off from the rest of the world. Look at how prosperous the south is. No wonder why you have North Korean defectors defecting to South Korea but I have never heard of South Korean defectors defecting to the North.
To the contrary if DPRK manages to drop one of their antiquated bombs or a nuke to Seoul, the cost to ROK and US will be very massive, may be a million times higher than the bomb itself. Hapo ndio jamaa walipowabana US na ROK. The only thing they have is lives and bombs.
Hapa nadhani una hoja. Ila pia kama DPRK (halafu unajua kirefu cha DPRK) ikifanya makosa na kurusha hayo makombora yake huko Seoul basi mwanzo wa mwisho wa utawala wa akina Lil' kim ndo utawadia.
Naweza kabisa kusema ni guarantee kuwa Lil' Kim hatakuwa tena kiongozi wa DPRK baada ya hapo na itakuwa deja vu all over again na Abrams tanks zitajivinjari kwenye mitaa ya Pyongyang kama zilivyojivinjari kwenye mitaa ya Baghdad. Na watu wa kawaida watapata ukombozi.