BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,283
Kichaka alipokuwa madarakani alikuwa so obsessed kurevenge kwa kauli ya kutaka kumuua baba yake hivyo akawa busy kutafuta "silaha za maangamizi" na kuwasahau hawa jamaa na wao kuutumia upenyo huo wa kusahaulika kupata kitu kizito chenye ncha kali.
mkuu BAK suala la North Korea kumiliki nukes si la kuaminika ni ukweli mtupu na hata wamarekani na washirika wao wanalifahamu hilo na wanaogopa ukizingatia sasa hivi anamiliki Taepodong 1na taepodong 2ambayo ni ICBM ambayo inauwezo wa kupiga mpaka upande wa mashariki wenye majimbo ya New York, New Jersey, North na South Carolina na mengineyo acha ule wa magharibi unaopakana nayo kwa bahari wenye LA, Frisco, nk. kwa hiyo America na South Korea wanajua nini IL sung, Jong IL na Jong un wanazungumzia.