Huyu jamaa ana mikwara tu kama baba yake, sio mara ya kwanza naskia North Korea inamtishia Marekani but each time sijawahi kuona action
Marekani haina sababu yoyote ile ya kuanzisha timbwili huko North Korea.
North Korea zaidi ya kelele za mbwa koko si tishio kivile na haina rasilimali zozote zile za kuifanya Marekani iingilie mambo yake ya ndani.
Nchi yenyewe imetengwa (au sijui imejitenga) na karibu dunia nzima.
Ila siku wakitaka kuwaona marines wa Kimarekani ndani ya Pyongyang basi ni ama waishambulie Seoul na kudondosha yale ma vikwangua anga au wafadhili magaidi wa kuishambulia Marekani kama alivyofanya Osama kwa msaada wa Taliban wa Afghanistan.
Hapo ndo utakuwa mwanzo wa mwisho wa akina Kim.
Zaidi ya hapo Marekani haitasumbuka nao na wala mikwara yao haikoseshi mtu usingizi.
Sidhani hizo nchi zingine, ukiondoa labda Afghanistan, licha ya kwamba na zenyewe zilikuwa au zinaendeshwa kidikteta, unaweza kuzilinganisha na Korea Kaskazini.
Hata Zimbabwe chini ya Mugabe sasa hivi ina nafuu maradufu kuliko Korea Kaskazini.
Nyani ngabu..Uhuru wanaouzungumzia wakorea ni Uhuru Wa kutawaliwa na magharibi
Mkuu nje ya mada kidogo
Kampuni za Samsung na LG zipo south au North Korea, hizi series tunazozifuatilia nazo niw za South au North?
Dogo acha kuota,
jamaa wana nuke ila kibebeo ndo tatizo,
namaanisha deliverance.
Ila kama wanacho ni mtihani halafu hawana shida ya kupeleka america, wakipeleka kusini kwa ndugu zao tu ni tosha for reunification
Unajibu kimipasho
Hapo napo kuna utata kwamba kanadanganya Ulimwengu kwamba kana kitu kizito, lakini wachunguzi wengi duniani wa mambo haya wanaamini jamaa anacho kitu kizito. Ndio sababu wanakuwa makini mno katika kukatia adabu.
Duh!
Hao watu ni wajinga kupitiliza!
Hicho kijamaa kinajua sana kuchimba biti.
Na hizo biti tumeshazizoea na wengine huwa zinatuchekesha sana.
Ni bora angejikita katika kuboresha maisha ya watu wake ikiwemo kuwapa uhuru wa kuona na kujua yanayoendelea nje ya hiyo nchi.
Hao watu wanaishi kama kuku wa kufugwa. Wanatia huruma. Wamechotwa akili.
Sielewi kwa nini mamiioni ya watu waweze kuchotwa akili na familia moja namna hiyo.
Halafu eti jina rasmi la hiyo nchi ni DPRK (Democratic People's Republic of Korea).
Hivi wanafanyaga hata chaguzi hao watu?
Vichekesho!!
Wa awamu ya kwanza.
Wabongo mnajua kujudge vitu sana, but nchi yenu yenyewe inateketea, hamna maamuzi magumu
Kama wabongo tuu
Wabongo mnajua kujudge vitu sana, but nchi yenu yenyewe inateketea, hamna maamuzi magumu
Ni dhambi kurithishana madaraka kwa watoto na vitukuu. Huyo jamaa hana akili kabisa....halafu kwa size na akili anafanana kabisa na prince wetu hapa...mbunge wa lile jimbo aliloliacha baba baada ya kuingia ofisi kubwa. naye anataka kuwa Rais..
Mkuu USA ndio ina mikwara kuhusu nuclear ya jamaa lakini hamna kitu.
Kama watu wanadhani ni mchezo US anzishe vita 21C aone kazi ya nuclear, alipiga watu enzi zile sio hizi zama za technolojia, utandawazi na biashara huria.
Wabongo mnajua kujudge vitu sana, but nchi yenu yenyewe inateketea, hamna maamuzi magumu
Wanawake jeshini wanalia kwa kumtaka, hawa sio wa kuwaambia mambo kama hayo.
![]()