Nyani Ngabu jinsi ulivyouliza maswali yako sina uhakika kama umejiandaa kuukubali ukweli hata kama utauona/utajidhihirisha kwako,kuna uwezekano mkubwa ukaendelea na mchezo wako wa kucheza na sarufi za lugha.Lakini usijali rafiki nipo kwa ajili ya kubadilishana mawazo na watu kama ninyi.Umeuliza maswali mengi sana inaonekana hufahamu mambo mengi niliyodokeza.Nimechagua nianze kukujibu hili la HIV/AIDS wakati wengine wakiendelea na topic husika.
Twende kazi
Nyani Ngabu mimi na wewe sasa.Suala la HIV/AIDS kuwa na tiba au ni ugonjwa feki ni pana sana.Lakini hebu tuanzie hapa kwanza.Sikiliza/fuatilia hiyo link hapo chini halafu twende debate hoja kwa hoja kisayansi mwisho wa siku tutapata ukweli tu,maana mimi nimetumia hoja nyingi zaidi ya hizi kwenye hii link kuwaokoa watu wengi na madawa ya ARVs ambayo ndio hasa yanayosababisha AIDS na si HIV kama tulivyoaminishwa miaka zaidi ya 30 iliyopita.Watu hao wanaishi wakiwa na afya njema na hawatumii dawa zozote pamoja na kupimwa HIV positive kwa kutumia vipimo vyao feki.
10 scientific arguments why HIV can not cause AIDS
https://www.youtube.com/watch?v=pB8g0b-FkW0
Baada ya kupitia link hiyo,twende hoja kwa hoja sasa,nakuruhusu umualike daktari yoyote wa magonjwa unayemwamini akusaidie ufanye debate na mimi.Acha kucheza na sarufi za lugha,twende kisayansi zaidi.Nakusubiri.