Mzungu Omba Omba ndani ya Dar

Sijui nani kawadanganya kuhusu wazungu au ngozi nyeupe ndio wenye neema?
Nawapenda wa Kenya!
 
Mi natafuta shamba boy nyumbani kwangu ukimuona tena mpe taarifa kuna mifugo pia inahitaji kuhudumiwa nitamtoa vizuri tu hata ikibidi nitampa banda la uwani awe analala mazee!!
bei yake utaiweza? Maana humlipi mtu. Unailipa rangi yake!
 

Wamejaa kila kona ya jiji especially how eastern Europeans
 
Sio ajabu mzungu kukosa pesa.
Ila sasa hivi kuna wazungu wengi matapeli hapa Dar.
Mtoa mada kafanya vizuri kutahadharisha wasiojua wajue.
Pia yupo mzungu fulani anatembea madukani na dollar feki hapa Dar.
 

This is a New Type of Investment; Kapitia TIC kwa ajili ya uwekezaji wa kuomba. BEGGARS' INVESTMENT COMPANY LTD (BIC)
 
Wazungu wamesaidia wangapi bana wee? mimi akiniomba kama ninacho nampa kwa moyo. Mi kuna mmdada alikua anomba kutumia computer yangu somewhere na mimi nilikua namsaidia ni mwanafunzi aliibuka maeneo hayo akifanya research na enzi hizo hakukua na mambo ya moderm so internet ilikua ni issue huko pembezon. Basi nikawa namsaidia na akawa anasema yeye ni mcanada kumbe at last nilijua nilikua namsaidia m-Israel for long time unaware. Baada ya yeye kuondoka ndo nilikuja kujua baadae sana kutoka source zingine. To me niliiona kama ni blessing kwani sikutegemea kuna siku m-israel angekua chini ya dari yangu kuomba kusaidiwa. Nawashauri saidia any one if you have it course biblia imesema ni kwa kusaidia wageni hata watu wa zamani waliwakaribisha malaika bila wao kujua.
 
Sio ajabu mzungu kukosa pesa.
Ila sasa hivi kuna wazungu wengi matapeli hapa Dar.
Mtoa mada kafanya vizuri kutahadharisha wasiojua wajue.
Pia yupo mzungu fulani anatembea madukani na dollar feki hapa Dar.

umeona ehee hali ya kiuchumi globally tete
 
Hao wapolish.romania na bosnian siku hizi ni km wachina.wako kila mahali na wanafanya kila kitu kupata pesa.umalaya,usenge ujambazi kuomba omba.kila kitu
 
Wewe ni xenophobic. Yule mt ulipaswa kumsaidia. Kama mwanamke,ungemkaribisha myumbani kwako.



I speak to you many times,but you say the ears are ringing,got to have them fixed.

If you don't hear the telephone ring and don't pick up the receiver-how can you hear the call or know who is on the other end of the line.
 

Ubalozi wa Marekani wa zamani pale Laibon Rd walikuwa na bonge la tangazo ndani kwamba hawatoi msaada wa fedha kwa raia wa Marekani walioishiwa wakiwa Tanzania.

Waliwekewa bango kabisa wasijisumbue hata kupanga mstari.
 
Kwani mtu akiwa anashida...kumsaidia hadi uangalie colour?

Shida haina adabu...remmy ongala aliimba.
 
akina dada waache tamaa,kulingana na mfumo wa dunia ulaya hakuna dili, the sky has reach the limit,now its time for africa,awake! (watakuja wengi kweli kiutapeli)
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…