Mzungu ana nini cha ziada?

Halafu mzungu Ana utisho hata akifika ikulu utaona gestures za viongozi zinavyoonyesha tuunafiki,mzungu mzungu tu buana
 
Wewe ni Mzungu? Kama sio umechukua hatua gani ili iwe fundisho kwa wengine? Au ndio unajitutumua tu?!!
mimi najituma kaka, na kuna baadhi ya waafrica wengi wanajituma pia, maana kuna waafrica wengi tu wana mafanikio na akili zaidi ya wazungu, na mimi ni mmoja wao
 
wamezaliwa eneo la shida ndio maana waligundua vitu vingi. chukua watoto wa matajiri ni wajinga sababu wanafikirikidogo sana.wote tupo sawa ilatunamazingira tofauti.
 
Wazungu ni wazungui tuu! Waafrika ni waafrika,wazungu wantuzidi maarifa,ustaarabu n.k. Si unaona jamaa wa burundi hapo! Mzungu ukimpa bunduki/madaraka anaua adui,mwafrika na mwarabu ukiwapa bunduki/madaraka wanaua wenzao!
 
Wazungu ni wazungui tuu! Waafrika ni waafrika,wazungu wantuzidi maarifa,ustaarabu n.k. Si unaona jamaa wa burundi hapo! Mzungu ukimpa bunduki/madaraka anaua adui,mwafrika na mwarabu ukiwapa bunduki/madaraka wanaua wenzao!
Hatari kaka....sijui tuna laana gani!!!
 
Umesahau ARV
 
Mwambie huyo, ebola imewatesa hapa watu wakafungiwa kama mbuzi huko Mali wakisubiri research za wazungu. Wasomi wengi wanafanya tafiti marudio, copy and paste halafu mnategemea waafrica tugundue nini?
 
Huko nchini Ghana kulikua na usemi usemao hivi , ukiwa unaenda kwenye nyumba ya ibada, ukakutana na mzungu njiani basi rudi nyumbani kwa kuwa umekutana na Mungu
 
Hata movie za kiafrika ni upuuzi tu wacha hizi Bongo movie
 
Hata wewe uneaminishwa hivyo, ndiyo maana una amini hivyo. Lakini siyo kweli. Tatizo ni mfumo.
.Daaah kwa hiyo unataka kuniambia haya yote ninayoyaona ni kwamba hayapo ila tu nimefanywa kuyaona hivyo? Hapana! Waafrika tupo nyuma kwenye kila kitu. Najaribu kutazama juhudi zilizotumika wakati wa kudai uhuru na yake yaliyofanywa na viongozi mara baada ya kupata uhuru. Natazama rasilimali tulizo nazo na umasikini tulio nao. WAAFRIKA ni tatizo hapa duniani
 
tatizo haswa
 
Walituibia sana wakati wa ukoloni na sasa wana maisha mazuri that's all
tutaishia kusema hivyo na kulalamika. Hebu tazama Marekani ilitawaliwa na UK, India ilitawaliwa na UK ila leo inauchumi mkubwa, China ilitawaliwa na Japan lakini leo Japan imepitwa mbali Sana, Korea ilitawaliwa na Japan lakini leo ina uchumi mkubwa.

Afrika Ina nchi sisizoonja makucha ya ukoloni lakini bado hali zao ni mbaya mf Ethiopia.
 
Kama ni hivyo mbona wao (wazungu) waliweza kuja afrika ila sisi tulishindwa kwenda kwao? tena walitufanya watumwa Kama tulikuwa mbele yao kimaendeleo ya kiuchumi,kijamii,,kisiasa mbona hatukuweza kuwafanya watumwa?

Kama afrika ilikuwa na elimu kuizidi ulaya mbona hata hatuna historia yetu tunategemea watuandikie historia yetu wenyewe hivi unategemea watatuandika vizuri?

Walter Rodney aliandika kitabu "How Europeans underdeveloped Africans" kuna sura inasema hadi kufikia karne ya 15 tulikuwa almost sawa kimaendeleo na wazungu ila kilichosababisha turudi nyuma ni uvumbuzi wa meli (Maritime technology). Naona kama kuna ukweli flan ila hizi ni theories na zina base on assumptions.

Marxist scholars (Afrocentric Views) wanasema waafrika walikuwa sawa na wazungu kimaendeleo na baadhi ya maeneo yalikuwa mbele zaidi ya ulaya. Hawa jamaa wanaunga mkono waafrika.

Eurocentric Views wanasema Afrika ilikuwa dark continent na hakukuwa na maendeleo yoyote hivyo wazungu wakaamua kuja kuleta ustaarabu na maendeleo katika nyanja za uchumi,jamii, siasa nk.... ndo maana waloleta utumwa,kujenga miundombinu kama barabara na reli, dini, demokrasia nk.....

sasa ukiangalia hizo nadharia utaona kila mtu anavutia kwake kitu kizuri na kumtupia mwezake kilicho kibaya. Sasa hebu tazama ualisia wa hizi nadharia kwa ualisia wa sasa. utapata jibu kuwa nani ni zaidi
 
Wewe mo11 ukoulivo, tukuache tu..
Mzungu hakujua kitu historically... Hi ilikuwa inferior race ikajichomoa uko ilikokuwa Na kuchange Kuwa race katili kabisa duniani

Hujasoma ukatili wao? Vitabu Viko vingi sana ni uvivu the

Anyways mabadiliko Na gunduzi duo vitu vina hiyari kutokea au kuja
Vile tee Na yeyote Yule mzungu au mweusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…