Mzungu ana nini cha ziada?

Mzungu ndie binadamu halisi na ndie aliepewa dhamana ya kuisimamia dunia,kifupi mwafrika na mwarabu ni wanyama wanaofanana na binadamu tofauti yao ni ndogo tu,mwafrika ni zezeta na mwarabu ni chizi



Ndio nyinyi mnaojichubua ili mfanane nao.
 
Sayansi inakua kuendana na muda naamini kwa sayansi tuliyokua nayo na tusingeingiliwa leo hii tungekua mbali kwa namna yetu....

Wazungu waliharibu sayansi yetu.
mpaka wanakuingilia wewe mwafrika (slow learner) ulikuwa wapi ndiyo maana unaambiwa mzungu ana iq kubwa mpaka anakuingilia wewe unashangaa kwanini na wewe usimwingilie kama na wewe una iq kubwa kumzidi
 
Ndio nyinyi mnaojichubua ili mfanane nao.

Mimi ni mwanaume ninauthamini uafrika wangu,lakini lazima nikubaliane na ukweli kwamba wazungu wametuzidi kitu naturally
 
Nadhani mnawazungumzia wazungu wa kwenye movie,
Mngeenda kuishi kwao mngeelewa ni watu wa aina gani,
Hakuna watu wachafu kama wao,
Roho mbaya kama wao,
Chuki, wizi, ubinafsi vyote wamejaza wao,
Maendeleo yeah wapo juu ila tukiamua tunawaweza sema ukijaribu tu wanakuzimisha kama taa.

Mzungu wa kumuamini ni yule aliyekufa tu.
 
Yaani ww hujikubali kabisa thamani ya utu wako ni bora kuliko huyo mbwa anaekula bure haijalishi upo kwenye mazingira yapi.
Sorry nathamini uhai wa wanyama. Ni viumbe vyenye thamani na uwezo na hisia , unless hujawahi kuwa na pet.
Ndomana wanaoamini reincarnation hawali wanyama.
Me kwakweli nisivyopenda shida kuliko kuzaliwa kwenye umasikini wa kutupwa na kufia Burundi sasa hivi, bora nizaliwe mmbwa wa rafiki yangu kule tegeta haha
 
Last edited:
Mm naamini kuwa ss pia tunauwezo mkubwa sema wanotusimamia na kuwasilisha fikla zetu kwa viongozi waandamizi wa serikali hawako makini
 
Naamini kila mtu anapenda aheshimiwe na kuthaminiwa utu wake. Kutokana na hilo, waafrika wengi hatupendi kuwa wakweli kuhusu udhaifu na uduni wetu ingawa kwa kiasi kikubwa tunaujua ndani ya mioyo yetu. Ndiyo maana tunakuwa na visingizio vingi kuwa wazungu walituingilia, mara walivuruga tekinolojia na maendeleo yetu n.k. Na wakati mwingine tunakasirika na kusema tumebaguliwa pale tunapoelezwa ukweli kuhusu jinsi tulivyo. Lkn jaribu kukaa na ujiulize maswali machache tu. Mfano, kwanini wazungu waliweza kuja kwetu kuanzia miaka ya 1400s, baadaye kutupeleka utumwani na kututawala? Kumbuka kipindi cha miaka ya 1400s tayari walikuwa na tekinolojia kuwawezesha kufika huku wakati huo sisi tukiwa hata nguo wala nyumba hatuna tunaishi maporini kuwinda wanyama ingawa kuna jamii chache zilikuwa na maendeleo kidoogo sana. Kwanini haikuwa kinyume chake? Je, tangu wameondoka wakatupa uhuru, rasilimali zetu kiasi gani wamechukua na ni sisi wenyewe tukiwaita waje kuchukua bila hata mtutu wa bunduki? Je, katika kipindi hicho, ni kiasi gani sisi tumenufaika na rasilimali zilizochukuliwa? Je, kiwango cha maendeleo na maisha tulichokipata kinafanana na thamani ya kiasi cha rasilimali tunazopoteza kila mwaka kupitia mikataba tunayosaini wenyewe bila kulazimishwa? Je, kiasi cha wizi, uhujumu uchumi, ufisadi na maovu tunayofanyiana sisi wenyewe ni sawa kwa binadamu? Je, waafrika tuna uwezo kiasi gani angalau kushinikiza uwajibikaji katika tawala zetu ukilinganisha na wenzetu? Yako mengi ambayo ukipata majibu yake utajua tofauti kati yetu na wao.
 
Kw
Ngoja nikuache nisije jikuta naongea na roboti.
 
wewe unashangaa mnyama kuteswa?? duh watu wananyanyasa watoto wa wengine kinyama wewe unashangaa ya mbwa?
 
Mzungu alikuwa mpenda ngono sana na ile hali ya hewa yao. Basi wakazaliana wengi kweli mpaka wakajaza kabara kao.. Wakawa na matatizo lukuki... Hapo akili zikawaingia Wakawa wanajituma kusolve matatizo yao... (Wakaanza kutuacha) Kwenye mchakato huo wa kutatua matatizo, wakapigana sana. Wengi wakafa (hasa watu wa hali ya chini) wakabaki viongozi wa serikali na dini, walimu na watu wenye ushawishi mkubwa kwenye jamii.. (Tabaka la wenye akili) na watu wa kawaida wasio wengi sana.. (Hatua nyingine ya kutuacha). Hapo wakasafiri safiri wakakuta midude Ina nguvu inaishi maisha ya raha, hamna baridi kali, ardhi ya kumwaga, wanyama n.k..wakarudisha news kwao.. "mzee Bismarck, sisi tuna shida huku Kuna watu washamba kweli kweli wanakula raha sehemu tumeiita Africa'' Basi hapo wakajikusanya kama nyuki.. Wakaja kutulaghai na kutawala. Hapo tu ndo walipopiga msamba wa kutosha na kutuacha kabisa.
 
Last edited:

Ha ha ha ha
 
wewe unashangaa mnyama kuteswa?? duh watu wananyanyasa watoto wa wengine kinyama wewe unashangaa ya mbwa?
Najua.
Afrika bado tunapiga mboko. Kapige mtoto wa mzungu Kama hujafungwa kwa sababu ya child abuse

Hata black Americans bado wanadunda watoto. Kweli you can take an African out of Africa but you can't take Africa out of an African
 
Last edited:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…