Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,429
- 25,156
kamfufue uzikwe wewe ili mchele na petrol vishuke sasaKila nikiwa nasoma Uzi JF haiwezi kupita wiki nzima bila kuwekwa Uzi wa JPM, ni kwamba Magufuli alifanya mambo mazuri sana Kwa wananchi ndo maana wanamkumbuka?
Ama alifanya ya ovyo Sana Kwa wananchi ndo maana wanamkumbuka.
Nikiwa nafikiria hayo nikakumbuka enzi za JPM petrol ilikuwa 1700/= Michele 1500, na maharage 2000, nikakumbuka hakukuwa na mgao wa umeme japo hapakuwa na mikutano ya kisiasa, kutekwa Kila mara ila gharama za maisha zilikuwa chini.
NIMEKUMBUKA TU
Kama Kwa JPM mlinunua mchele 1500, dizel 1700 bado mlipigwa bei kubwa, mwaka 87 wakati wa mwinyi petrol ilikuwa ni 200, Debe la mpunga lenye kutoa kilo 9 za mchele tulilipata Kwa shingi 700
Duu hii ndio tanzaniahapakuwa na ugaidi ni story za kijinga
Yule Dokta feki yuko Chato kapumzika.Kinachofanyika sasa, lile kundi la watu walionufaika namitindo haramu ya maisha na kushuhhulikiwa kipindi cha JPM wamewekeza nguvu kubwa kuhakikisha hatokei JPM mwingine hata wa kufanana nae hata kidogo, wanasahau kwamba vyeti feki ndo hivyo havirudi tena, labda wafanyakazi hewa na upigaji mwingine kwa kuwa ubadhirifu hautajwi kama ktk kipindi cha JPM.
Haikusaidii, jifariji tu lakini mlianikwa na mnaonekana vizuri sasa kuliko wakati mwingine kabla.Yule Dokta feki yuko Chato kapumzika.
Hainisaidii wakati bado nadunda!Sina kinyongo tena kuwa tunatawaliwa na dikteta.Sina mashaka na maisha yangu kwa vile mimi ni mtu wa kukosoa pale ninapoona hapako sawa na ndiyo maana hata Lema namkosoa sana ingawa hana meno kama vile alivyokuwa Mwendazake.Kila nikimwona Tundu Lissu nafarijika ile mbaya kwani historia ile iliuchafua moyo wangu na Watanzania wengi wapenda maendeleo.Sina kinyongo na Rais aliyepo madarakani kwa sababu kwa asilimia 60% anajitahidi sana.Pia nipende tu kumshukuru Mungu kwa kutuondolea mhalifu katika nchi yetu huru.Haikusaidii, jifariji tu lakini mlianikwa na mnaonekana vizuri sasa kuliko wakati mwingine kabla.
Sikupenda aina ya siasa alizokuwa anazifanya Lissu hususani kipindi cha zogo la makinikia, kwangu ni dhahiri aligeuka adui wa harakati za kurejesha heshima ya nchi dhidi ya wachimbaji wakubwa wa madini hapa nchini.Hainisaidii wakati bado nadunda!Sina kinyongo tena kuwa tunatawaliwa na dikteta.Sina mashaka na maisha yangu kwa vile mimi ni mtu wa kukosoa pale ninapoona hapako sawa na ndiyo maana hata Lema namkosoa sana ingawa hana meno kama vile alivyokuwa Mwendazake.Kila nikimwona Tundu Lissu nafarijika ile mbaya kwani historia ile iliuchafua moyo wangu na Watanzania wengi wapenda maendeleo.Sina kinyongo na Rais aliyepo madarakani kwa sababu kwa asilimia 60% anajitahidi sana.Pia nipende tu kumshukuru Mungu kwa kutuondolea mhalifu katika nchi yetu huru.
Mnateseka nyie vibaka wakeKila nikiwa nasoma Uzi JF haiwezi kupita wiki nzima bila kuwekwa Uzi wa JPM, ni kwamba Magufuli alifanya mambo mazuri sana Kwa wananchi ndo maana wanamkumbuka?
Ama alifanya ya ovyo Sana Kwa wananchi ndo maana wanamkumbuka.
Nikiwa nafikiria hayo nikakumbuka enzi za JPM petrol ilikuwa 1700/= Michele 1500, na maharage 2000, nikakumbuka hakukuwa na mgao wa umeme japo hapakuwa na mikutano ya kisiasa, kutekwa Kila mara ila gharama za maisha zilikuwa chini.
NIMEKUMBUKA TU
Jpm alikuwa na mazuri mengi kuliko mapungufu,ukiwasikiliza sana vyeti feki utaweza dhania kuwa kwenye uongozi wa jpm tulilazimishwa nchi nzima kulala saa 12 jioni sababu ya udikteta wake.
huu mkoa ninao ishi enzi za jpm mchele wakutumia familia yangu nilikuwa nanunua 2kg sawa 2400 maharage nusu kg sawa na 1000 kwa ujumla nikiwa na 5000 nafanya bajeti lakini leo ukiwa na 10000 hufanyi bajet inayoeleweka. Mpumbavu mmoja anasena eti tukalime mvua zinanyesha[emoji23][emoji23]
rip my president.
Sisi watanzania kipaumbele chetu ni amani na amani kweli tunayo hatuoni tena wale wasiojulikana lakini pia gharama ya maisha iko juu lakini pesa mtaani inaonekana tunaona mama anatoa ajira kila siku na wale ambao hawajapata ajira anatengeneza mazingira wezeshi waweze kujiajiri lakini kipindi cha Mwenda zake aisee mchele elfu 1500 lakini kuipata ilikua kisanga lakini kipindi hiki cha uongozi wa Rais Samia Suluhu pesa ipo mtaaniKila nikiwa nasoma Uzi JF haiwezi kupita wiki nzima bila kuwekwa Uzi wa JPM, ni kwamba Magufuli alifanya mambo mazuri sana Kwa wananchi ndo maana wanamkumbuka?
Ama alifanya ya ovyo Sana Kwa wananchi ndo maana wanamkumbuka.
Nikiwa nafikiria hayo nikakumbuka enzi za JPM petrol ilikuwa 1700/= Michele 1500, na maharage 2000, nikakumbuka hakukuwa na mgao wa umeme japo hapakuwa na mikutano ya kisiasa, kutekwa Kila mara ila gharama za maisha zilikuwa chini.
NIMEKUMBUKA TU
Mbona unawataja wanasiasa taja familia yako yupi ameuliwaWapi Saanane, Azory, Mawazo ,viroba vya maiti pale CoCo beach,Ruvu etc ,elewa ni binadamu wenzetu wale, huyu rais alikua muuaji, katili wa kiwango cha juu nchi imewahi kushughudia, wewe unalalama humu kwa sababu familia yako ipo around, je umewahi kujiuliza familia ya Azory inauspicious vipi?,je lini watapata closure?,LNG ipo njiani kwenda ile black address
Acha upumbavu, Azory alikua ni journalist, Saanane alikua msaidizi wa Mr.Mbowe (sio politicians),na vile viroba vya CoCo beach ni binadamu wenzetu sio nguruwe wale,familia yangu kwa katili kama wewe it's a NO kukutajiaMbona unawataja wanasiasa taja familia yako yupi ameuliwa
Unaingiza unazi wako wa uchadema ndio maana unamwita Magu ni katiliAcha upumbavu, Azory alikua ni journalist, Saanane alikua msaidizi wa Mr.Mbowe (sio politicians),na vile viroba vya CoCo beach ni binadamu wenzetu sio nguruwe wale,familia yangu kwa katili kama wewe it's a NO kukutajia