It's a parable to awakening...I hate to invoke the Nazarene but Jesus Christ what the fvck Gunner!. Kwamba Mwamba hakufa au una maana gani!
Kwa sababu kwanza huwa haiji pale mambo ni magumu, huja pale unapokuwa umejipata then badala ya kuona raha unaona kama kuna mahali mambo haya make any kind of sense. Ila bado jamii wanafurahi as if nothing is wrong1. unajuaje kwamba hii ni divine calling na sio trauma, burnout, au confusion?
Haihitaji ushahidi because kila mtu ana percpertion yake ila kwa aliye chosen atajua kuwa patterns zake na another chosen Zina fanana2. Ni ushahidi gani unaotofautisha “being chosen” na simply kuwa overwhelmed na maisha?Pili, kwa nini isolation ndiyo unaiweka kama njia ya pekee ya kuona uhalisia?
Jamii na watu wasio ona Hu fikiri hivyo, ila ndo kitu pekee kinacho Fanya wazo lako au purpose yako I flourish, angalia hata most scientists hawakuwa on the traditional path kama binadamu wa kawaida... Na hicho ndicho kilicho wafanya wa succeedJe, huoni kwamba kutengwa sana kunaweza pia kukuza delusion, ego, au mawazo yako mwenyewe ambayo kiuhalisia yanaweza yasiwe na msaada wowote kwako!
Mada za ShesRise_1 , hazijawahi kumwacha mtu salama. Wakati narudi huku nikakutana na uzi wake ukanisomba ndo maana nikapotea 🤓!Vipi mkuu Latent chaos mbona umepotea na wengine mnao pita na kucheka kama ephen_ mna nia gani? 😂
Namwelewa sana huyo she writes so well.Mada za ShesRise_1 , hazijawahi kumwacha mtu salama. Wakati narudi huku nikakutana na uzi wake ukanisomba ndo maana nikapotea 🤓!
Kama ulivyosema, kuwa na uwezo wa kuona nyuma ya pazia—kuona kiini cha chuki, majivuno, na dhana potofu za wanadamu—ni mzigo mzito sana. Watu wengi wanaishi maisha ya "kawaida" kwa sababu fahamu zao zimefumba (ignorance is bliss). Wanapofurahi, wanafurahi tu; wanapoumia, wanaumia tu bila kujua chanzo. Lakini yule aliyechaguliwa au "aliyefunguliwa" macho, anaona mpaka mizizi ya matatizo ya jamii. Hali hii inamfanya ajisikie mpweke na mgeni duniani, kana kwamba yeye si wa sayari hii, we call it the curse of sight.Katika ulimwengu huu wenye siri na mambo machafu, omba Mungu sana kwako yasionekane. Omba Mungu uwe normal kama watu wengine, usiwe na uwezo wa kujua nini kiini cha maumivu, mateso, majivuno, chuki, na dhana potofu zinazo tawala huu ulimwengu.
Haihitaji kusoma, ila tu ni mipango ya muumba kukufanya uone ilihali akiwa na malengo na wewe. Ni uwezo ambao mtu huzaliwa nao, na mwanzo unaweza kudhani ya kuwa wewe ni mtu wa tofauti, kama vile wewe hatukuumbiwa kuishi hapa duniani, maana ni kama wengine wanaishi maisha tofauti kabisa na jinsi wewe unadhani ya napaswa kuwa ila bado ukijaribu kuelezea watakuona umechizika au una jiona mjuaji.
Jesus, kwenye Bible alihukumiwa na kusurubiwa because watu hawapendi kitu wasicho kijua, change is painful..
Buddha alitoweka na kwenda kuishi peke yake jangwani ili aujue uhalisia ndani yake, just like Jesus alivyo funga na kutokula for 40 days and 40 nights.
hivyo isolation ndo kitu pekee ambacho hufanya mtu aliye chaguliwa kuona mambo ajue nini haswa alipaswa kukifanya humu duniani.
Katika safari hii, kuna kipindi cha mateso, kama jinsi Yesu alivyo surubiwa.
Hiyo ilikuwa metaphor ya death and rebirth. Katika maisha halisi death sio kufa mwili ni kufa kwa ego, ni kuachana na kila dhana uliyo mezeshwa na ulimwengu, ni kurudi katika ukuu wako.
It's one of the painful season, inaitwa dark knight of the soul unaweza kuhisi ndo mwisho wa maisha yako. Ila ndo kwanza safari mpya inaenda kuanza.
Utapoteza, mali, marafiki, ndugu na jamaa.. The more unavyo jitahidi kuvirudisha ndivyo maumivu yanazidi kuwa makubwa. Trust me divine plan kamwe haiwezi kuvunjwa. You can't override it. Lazima itimie...
Ndugu zangu, ambao wanaishi maisha yao bila kujali, shukuruni sana Mungu kwa sababu hamjui watu walofunguliwa wanapitia. Ni kazi pia kuja kuanza kuprove hii kitu kwa watu, ni mpka mtu aliye funguliwa aje.. Aone then a relate na safari yake then, aseme that's exactly what am going through too
Carl Gustave Jung aliwahi kusema
"until you make the unconscious conscious, it will always control your life and you'll call it fate"
The curse of sightKama ulivyosema, kuwa na uwezo wa kuona nyuma ya pazia—kuona kiini cha chuki, majivuno, na dhana potofu za wanadamu—ni mzigo mzito sana. Watu wengi wanaishi maisha ya "kawaida" kwa sababu fahamu zao zimefumba (ignorance is bliss). Wanapofurahi, wanafurahi tu; wanapoumia, wanaumia tu bila kujua chanzo. Lakini yule aliyechaguliwa au "aliyefunguliwa" macho, anaona mpaka mizizi ya matatizo ya jamii. Hali hii inamfanya ajisikie mpweke na mgeni duniani, kana kwamba yeye si wa sayari hii, we call it the curse of sight.
Ila there's a wonderful gift pale unapokuwa kujua the individual meaning behind it all. Yaani ni sawa Albert Einstein alipokuja kugundua relativity, au Newton alipo kuja na gravity inakuwa kama unapata dhahabu Sehemu ambayo watu waliipuuzaKama ulivyosema, kuwa na uwezo wa kuona nyuma ya pazia—kuona kiini cha chuki, majivuno, na dhana potofu za wanadamu—ni mzigo mzito sana. Watu wengi wanaishi maisha ya "kawaida" kwa sababu fahamu zao zimefumba (ignorance is bliss). Wanapofurahi, wanafurahi tu; wanapoumia, wanaumia tu bila kujua chanzo. Lakini yule aliyechaguliwa au "aliyefunguliwa" macho, anaona mpaka mizizi ya matatizo ya jamii. Hali hii inamfanya ajisikie mpweke na mgeni duniani, kana kwamba yeye si wa sayari hii, we call it the curse of sight.
Being unconventional is not the same as being effective; a real purpose flourishes because it survives scrutiny, discipline, and results not just because it feels different. Hawa wanasayansi ulowatolea mfano hapa ni kweli baadhi yao hawakufuata njia za kawaida, lakini hilo halimaanishi kuwa kutokuwa normal ndiko kulikosababisha mafanikio yao. Wengi wao walifanikiwa kwa sababu ya kuwa focused, deep thinking, experimentation, na persistence , sio kwa sababu walijitenga tu .Kwa sababu kwanza huwa haiji pale mambo ni magumu, huja pale unapokuwa umejipata then badala ya kuona raha unaona kama kuna mahali mambo haya make any kind of sense. Ila bado jamii wanafurahi as if nothing is wrong
Haihitaji ushahidi because kila mtu ana percpertion yake ila kwa aliye chosen atajua kuwa patterns zake na another chosen Zina fanana
Isolation, is when everything makes sense tumeiona kwenye parables nyingi kwenye dini... Na hata monks and Buddha's use it effectively
Jamii na watu wasio ona Hu fikiri hivyo, ila ndo kitu pekee kinacho Fanya wazo lako au purpose yako I flourish, angalia hata most scientists hawakuwa on the traditional path kama binadamu wa kawaida... Na hicho ndicho kilicho wafanya wa succeed
Unapofikia hatua ya kujua individual meaning nyuma ya kila mateso, kila usaliti, na kila kipindi cha giza, maumivu yanabadilika na kuwa hekima. Unacha kulalamika na kujiuliza maswali sofy soft kama "Kwa nini haya yanatokea kwangu?" na hapo sasa unaanza kusema "Ah! Kumbe hiki ndicho kilichokuwa kinaandaliwa ndani yangu."Ila there's a wonderful gift pale unapokuwa kujua the individual meaning behind it all. Yaani ni sawa Albert Einstein alipokuja kugundua relativity, au Newton alipo kuja na gravity inakuwa kama unapata thahabu Sehemu ambayo watu waliipuuza
Kijana nitakufatilia🤣🤣Mada za ShesRise_1 , hazijawahi kumwacha mtu salama. Wakati narudi huku nikakutana na uzi wake ukanisomba ndo maana nikapotea 🤓!
I get you, but what you're trying to say... Is exactly what falls into novelty that is actually harnessed and potentially utilized...Being unconventional is not the same as being effective; a real purpose flourishes because it survives scrutiny, discipline, and results not just because it feels different. Hawa wanasayansi ulowatolea mfano hapa ni kweli baadhi yao hawakufuata njia za kawaida, lakini hilo halimaanishi kuwa kutokuwa normal ndiko kulikosababisha mafanikio yao. Wengi wao walifanikiwa kwa sababu ya kuwa focused, deep thinking, experimentation, na persistence , sio kwa sababu walijitenga tu .
My take is that purpose flourishes not because a person is misunderstood, but because they are willing to be corrected, tested, and refined. The world does not reward mere uniqueness; it rewards usefulness, clarity, and consistency.
Mfanon mzuri niliwahi kuona kijiko kwenye post fulani Instagram kilikuwa na kama ki-mnyororo badala ya mshikio wa kawaida, ukiona kinapendeza machoni ila huwezi kukitumia kula , unique but useless , I'm using this as an example because it shows the difference between novelty and utility.
Yes. Ni mfungo muhimu sana kwa ajili ya survival ambayo mwishoni bado watakuja kufa tuu.Kuna watu hapa duniani wanateseka sana kwa kutojua KWELI
Na hata ukiwaamsha watakushambulia vibaya
kuna muda huwa najichekea moyoni tu!
Exactly...Unapofikia hatua ya kujua individual meaning nyuma ya kila mateso, kila usaliti, na kila kipindi cha giza, maumivu yanabadilika na kuwa hekima. Unacha kulalamika na kujiuliza maswali sofy soft kama "Kwa nini haya yanatokea kwangu?" na hapo sasa unaanza kusema "Ah! Kumbe hiki ndicho kilichokuwa kinaandaliwa ndani yangu."
na hapo ndipo mtu anapofikia ule utulivu wa kweli wa moyo kwa sababu ameshaelewa ramani nzima ya safari yake na anajua kuwa hakuna jambo linalotokea kwa bahati mbaya. Huu ndio utamu wa kiwango cha juu kabisa—utamu wa kujua ukweli unaokuweka huru.