Jumakidogo
R I P
- Jul 16, 2009
- 1,851
- 417
Kiswahili ni lugha mama kwangu, nipo sahihi hapo 100%, ningekuwa nimekosea ningekiri.
Duh! Mkuu. Kiswahili ndiyo lakini. Linaporowa au linapolowa....rowana au lowana?

Ukiacha ubishi usiokuwa na mashiko na ubishi wa jadi, Mzee Wassira leo bungeni umetoa shule yenye mashiko! Hongera sana! Umedhihirisha ng'ombe hazeeki maini na kuwa utu uzima dawa!! Hoja za mlinganisho wa mpango wa maendeleo wa miaka mitano na bajeti ya serikali ya mwaka 2012/2013. Hoja za mahusiano ya bajeti na Ilani ya uchaguzi ya CCM. Hakika umetoa shule ya kutosha, asiyetaka acha asitake milele lakini shule umetoa!!
Ambao hawakumwangalia Wassira soon ntaweka mkanda wa speech yake! Lakini mnaotaka kutukana pia mnakaribishwa maana mko wengi, nitukaneni mimi lakini msimuhusishe mwingine....

Ukiona watu walipewa majukumbu ya kuongoza nchi wanishia kuwa wanaongea mambo ya kishabiki kama watu wa kijiweni basi ujue nchi wanayoongoza ina matatizo makubwa sana, tena ya kutisha.
Mzee Wasira huyu aliyewahi kunyooshwa ki sawa sawa na mzee Warioba kwa rushwa ya uchaguzi akapigwa ban ya miaka 5. Aikuja akaokotwa jalalani na wanamtandao ambao walimuinua na kumfikisha hapo alipo sasa.Wassira yupi huyo?? Huyu huyu au mwingine? Kama huyu huyu lini kaanza kuongea point?
Ukiacha ubishi usiokuwa na mashiko na ubishi wa jadi, Mzee Wassira leo bungeni umetoa shule yenye mashiko! Hongera sana! Umedhihirisha ng'ombe hazeeki maini na kuwa utu uzima dawa!! Hoja za mlinganisho wa mpango wa maendeleo wa miaka mitano na bajeti ya serikali ya mwaka 2012/2013.
Hoja za mahusiano ya bajeti na Ilani ya uchaguzi ya CCM. Hakika umetoa shule ya kutosha, asiyetaka acha asitake milele lakini shule umetoa!!