Mzee Wassira shule yako dawa tosha!

Nape,
Unapozungunguka huko mikoani, wilayani na vijijini hivi kweli huoni umasikini uliotamalaki! Hivi hujawahi kukaa na kujiuliza bajeti ya mwaka jana, juzi, na kurudi nyuma zimemsaidiaje yule masikini aliyekaa katika majani bila malapa kwa uchovu akikusikiliza.

Majuzi umesema chama tawala kimeagiza serikali iangalie mfumuko wa bei.
Sasa kwa bajeti hii unadhani mfumo utashuka au utapanda?

Hujiulizi kwanini serikali katika nchi tajiri kwa rasilimali kama Tanzania bado inategemea kodi za vocha za wapiga simu?
Nape, wewe na serikali yako mumefanya nini kuzuia misamaha kwa mafisadi, makontena kuingia bila kodi, wawekezaji kukwepa kodi kwa kubadili majina na wawekezaji kupewa muda wa kupora kabla ya kuondoka!

Nape, Hivi hujaona ni jinsi gani nchi hii ni tajiri na kudai kodi ya soda na bia ni ujinga uliokubuhu.
Unaweza kusimama kweli na kusema gharama za kuendesha serikali ni sahihi kwa kutumia akili tu.
Hivi hujiulizi kama baba mwenye familia kuwa unawezaje kuwa na mshahara wa sh 100 halafu matumizi yako yakawa sh 150! simple logic isiyohitaji degree.

Ninachotaka kusema hapa ni kuwa Nape Nnauye Jr you preach what you don't practice
Waache Watanzania waigombee na waigomboe nchi yao, wewe endelea kula mafao ndani ya VX ukipita kuwalaghai watoto wanaofia njiani, ukiwakejeli wakulima waliogonga na mijoka, ukiwadhihaki wanafunzi wasioweza kulipa ada kwa maneno matamu ya bajeti nzuri.
 
Ukiacha ubishi usiokuwa na mashiko na ubishi wa jadi, Mzee Wassira leo bungeni umetoa shule yenye mashiko! Hongera sana! Umedhihirisha ng'ombe hazeeki maini na kuwa utu uzima dawa!! Hoja za mlinganisho wa mpango wa maendeleo wa miaka mitano na bajeti ya serikali ya mwaka 2012/2013. Hoja za mahusiano ya bajeti na Ilani ya uchaguzi ya CCM. Hakika umetoa shule ya kutosha, asiyetaka acha asitake milele lakini shule umetoa!!
Ambao hawakumwangalia Wassira soon ntaweka mkanda wa speech yake! Lakini mnaotaka kutukana pia mnakaribishwa maana mko wengi, nitukaneni mimi lakini msimuhusishe mwingine....

Interesting, and to you now you are wise and brilliant isnit? So because Mr saint, the best-boy-in-class syndrome, Mr I never make mistake, Hon'ble steven Wassira made an intellectual comment(according to your standards). This is interesting indeed

Kwa hiyo Wasira ndiyo alibeba baraza lote la mawaziri?Ni kutokana na viongozi vijana wa aina yako wazee wanashindwa kutuamini kwa sababu ya incompetency mnayoonyesha vijana ambao mmeaminika.Jambo la kushangaza unafurahia bajeti kandamizi ambayo ni adui mkubwa wa Vijana.Bajeti hii kandamizi inakupa ujasiri wa kuchekelea?Ukopaji holela kwa matumizi ya anasa utatubebesha mzigo vijana na vizazi vijavyo

Wewe ni katibu Mwenezi wa chama chako hustahili kutoa comment za aina hii(hasa za kuonyesha makundi ndani ya chama chako)

Comment zako hapo zinaonyesha vijana kama ninyi mngekuwapo Afrika kusini enzi za ubaguzi wa Rangi ninyi mngewasaliti wenzenu na kujiunga na Makaburu.

honestly,I have always wondered what we as Youths would have done if we were in the shoes of the blacks in South Africa during the regime of apartheid. With the current mindset of young leaders like you, I believe the regime of apartheid would still have been in place. Collectively as one people the blacks in South Africa fought and died for justice. Young and old protested to their deaths until justice was served. Ask yourself this question ‘can I die for what I know is right?'

I wonder what is your qualification criteria for your comments above? Until you tell me please post comments only on the romance,gossip,food,health etc. forums,you will contribute more meaningfully there.
 
Ukiacha ubishi usiokuwa na mashiko na ubishi wa jadi, Mzee Wassira leo bungeni umetoa shule yenye mashiko! Hongera sana! Umedhihirisha ng'ombe hazeeki maini na kuwa utu uzima dawa!! Hoja za mlinganisho wa mpango wa maendeleo wa miaka mitano na bajeti ya serikali ya mwaka 2012/2013. Hoja za mahusiano ya bajeti na Ilani ya uchaguzi ya CCM. Hakika umetoa shule ya kutosha, asiyetaka acha asitake milele lakini shule umetoa!!
Ambao hawakumwangalia Wassira soon ntaweka mkanda wa speech yake! Lakini mnaotaka kutukana pia mnakaribishwa maana mko wengi, nitukaneni mimi lakini msimuhusishe mwingine....

sasa mtu mwenyewe tutakutukanaje wakati umeshajiandaa kutukanwa?

Tunaomba utuwekee hiyo clip ya huyo binadamu mkuu!
 
Ungekuwa karibu ningektwanga makofi na fimbo kadhaa nadhani ungetia akili japo kidoogo! U dont belong 2 the generation
 
nape nakuona kama unataka kuwakomboa watanzania lakini huwezi kuwakomboa ukiwa ccm! maana ccm ndio imetufanya tulivyo kaka
 
Nape, Nape, eh, umeenda wapi sasa? Bado tu una-upload video au nawe ni DHAIFU?
 
Nina imani huyu siye Nnape halisi kwa sababu yeye si kawaida yake kujibu papo kwa papo na hata akitoa hoja huijia baadaye sana na kwa majibu yasiyo mpasho. Huko siku za nyuma niliwahi kumshauri yule Bw kipendekezi ajaribu kuiga mfanowe.
 
mnyoania nge mnyongeni lakini haki yake mpeni wasira kawatendea haki watanzania kwa kuwaelewesha ambacho wengi walikuwa hawajaelewa
 
Ukiacha ubishi usiokuwa na mashiko na ubishi wa jadi, Mzee Wassira leo bungeni umetoa shule yenye mashiko! Hongera sana! Umedhihirisha ng'ombe hazeeki maini na kuwa utu uzima dawa!! Hoja za mlinganisho wa mpango wa maendeleo wa miaka mitano na bajeti ya serikali ya mwaka 2012/2013. Hoja za mahusiano ya bajeti na Ilani ya uchaguzi ya CCM. Hakika umetoa shule ya kutosha, asiyetaka acha asitake milele lakini shule umetoa!!
Ambao hawakumwangalia Wassira soon ntaweka mkanda wa speech yake! Lakini mnaotaka kutukana pia mnakaribishwa maana mko wengi, nitukaneni mimi lakini msimuhusishe mwingine....

Hiv wewe nape unamaanisha nini?.Hv wewe ndo katbu mwenez wa ccm Taifa?.Kwa kweli umechoka hadi unapost pumba kama hz?.Sasa hii post yako unamaanisha nini?
 
Ukiacha ubishi usiokuwa na mashiko na ubishi wa jadi, Mzee Wassira leo bungeni umetoa shule yenye mashiko! Hongera sana! Umedhihirisha ng'ombe hazeeki maini na kuwa utu uzima dawa!! Hoja za mlinganisho wa mpango wa maendeleo wa miaka mitano na bajeti ya serikali ya mwaka 2012/2013. Hoja za mahusiano ya bajeti na Ilani ya uchaguzi ya CCM. Hakika umetoa shule ya kutosha, asiyetaka acha asitake milele lakini shule umetoa!!
Ambao hawakumwangalia Wassira soon ntaweka mkanda wa speech yake! Lakini mnaotaka kutukana pia mnakaribishwa maana mko wengi, nitukaneni mimi lakini msimuhusishe mwingine....
Leo unamsifia na kumwona wa maana. Akihama tu kwenda upinzani utamwita "oil chafu". Acha unafiki.
 
Kulitetea hili lichama inatakiwa uwe na moyo wa chuma halafu uwe abnormal fulani hivi!
Ndio maana mdogo wangu nape unaanza kutahadharisha kuhusu kutukanwa...ila nikuhakikishie tusipokutukana sisi hata haya mawe yatakutukana!!
 
Ukiacha ubishi usiokuwa na mashiko na ubishi wa jadi, Mzee Wassira leo bungeni umetoa shule yenye mashiko! Hongera sana! Umedhihirisha ng'ombe hazeeki maini na kuwa utu uzima dawa!! Hoja za mlinganisho wa mpango wa maendeleo wa miaka mitano na bajeti ya serikali ya mwaka 2012/2013. Hoja za mahusiano ya bajeti na Ilani ya uchaguzi ya CCM. Hakika umetoa shule ya kutosha, asiyetaka acha asitake milele lakini shule umetoa!!
Ambao hawakumwangalia Wassira soon ntaweka mkanda wa speech yake! Lakini mnaotaka kutukana pia mnakaribishwa maana mko wengi, nitukaneni mimi lakini msimuhusishe mwingine....

pumba!

mbona husemi ile ya yule jamaa wenu wa uchumi grade wani?
 
Ukiacha ubishi usiokuwa na mashiko na ubishi wa jadi, Mzee Wassira leo bungeni umetoa shule yenye mashiko! Hongera sana! Umedhihirisha ng'ombe hazeeki maini na kuwa utu uzima dawa!! Hoja za mlinganisho wa mpango wa maendeleo wa miaka mitano na bajeti ya serikali ya mwaka 2012/2013. Hoja za mahusiano ya bajeti na Ilani ya uchaguzi ya CCM. Hakika umetoa shule ya kutosha, asiyetaka acha asitake milele lakini shule umetoa!!
Ambao hawakumwangalia Wassira soon ntaweka mkanda wa speech yake! Lakini mnaotaka kutukana pia mnakaribishwa maana mko wengi, nitukaneni mimi lakini msimuhusishe mwingine....

Mkuu kuandika kitu halafu mwisho unaweka kabisa tamko la tahadhari ya kutukanwa ni dalili ya kutojiamini. Ama kuwa na uhakika wa kile ulichoandika. Acha watu wachangie, kama ulichoandika ni kweli tupu. Hakuna atakayetukana.
 
Hakuna cha kushangaza katika ujumbe huu wa Nape. Ni kawaida kwa Katibu Mwenezi wa Chama cha Siasa kutoa kauli kama hizi.
 
Back
Top Bottom