Mzee wa upako na magari

Mzee wa upako na magari

Anayatoa wapi. Umesikiliza vizuri wewe?

Kuna mangi alisema alikua anaenda church kwa miguu,akamuona mzee akamwambia ipo siku utapata gari,leo ndo katoa ushuhuda kuwa amepata OPA.
 
Mwingine aliwahi kushuhudia kwamba alienda pale kanisani kwa lift ya lori la manispaa la kubeba uchafu lakini leo hii anamiliki Verosa 3 na V8 mbili
 
uwa nataka sana fahamu watoto wanaopatikana kupitia maombi ya huyu,wanaendeleaje? Uwa nakosa imani kabisa, yeyote ambae mkewe au ndugu yake aliombewa pale akapata mtoto atupe maendeleo hapa.
 
Nami uwa napata wasaa wa kumsikiliza mzee wa upako, uwa naona watu wakitoa ushuhuda kuhusu magari kuwa wameyapata baada ya kuombewa na yey. Duh! Uwa nachoka
 
Ukitaka ufalme wa duniani nenda.......but ufalme wa mbinguni ndo cha kwanza mengine mtazidishiwa...mi simkubali kabisa mzee wa upako anahubiri utajiri tu...sijaona akihubiri jinsi ya kushinda dhambi na kwenda mbinguni...hata shetani nae ni tajiri so kuweni makini na hayo magari
 
Like like like
 
Siku akienda kuwatibu wagonjwa waliolala kwa zaidi ya miaka 5 mahospitalini live bila ya chenga ndipo nitakapomuamini kuwa si gari hata ndege atakuwezesha
 
Back
Top Bottom