data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,943
- 23,884
naona keshafanikiwa kupata mmoja hapa...
marketing strategy yake ni nzuri..
turudi ktk hali ya kawaida ya kibinadamu,, haya anayafanyaje! How?
naona keshafanikiwa kupata mmoja hapa...
marketing strategy yake ni nzuri..
Kwa nin usiende ukapate majibu huko?
what an illusion...ukiingia kwenye kanisa la mzee wa upako akikuombea upate gari ukitoka nje unalikuta liko tayari kwenye parking na funguo yake kabisa
ni sheeeiideerr....
I must visit this man..
mkuu ninachokitizama ndo kimenichanganya ...
Hahaaaa, mimi huwa najiuliza "hawa watu ambao hutoa ushuhuda wanatoka wapi/hawafahamiki, mbona zaidi ya yule wa Joti sijawahi muona mtu anayedai hela"?
ukiingia kwenye kanisa la mzee wa upako akikuombea upate gari ukitoka nje unalikuta liko tayari kwenye parking na funguo yake kabisa
what an illusion...
![]()
kama wale audience wote wanapangwa,, kudanganya,, basi kazi ipo.
wakuu namimi nataka gari,?
Huyu mzee wa upako ana nini? Naangalia now ch.10
the unhappenings are happening.,
guyz im plannin to attend his service.
Watu wenyewe wanashangaa tu wamejikuta wana magari..
Stunned....!!!
bora habari haijakamilika..
data ulikua unawahi wapi