Mzee wa upako na magari

Mzee wa upako na magari

Hyo Lusekelo mwiz tu... Km mzee wa upako atembelee shule za watoto viziwi, vipofu na wenye ulemavu atoe upako ndo ntamuamin.
 
Wagalatia wamebarikiwa sana na Mungu,hilo hata nyie magaidi mnalijua sana,misikiti yenu imejaa chuki na mipango ya kujitoa mhanga kwa kwenda mbele,mnahubiri mauaji tu,na ujinga wa kusema eti nyie ni dini ya kweli,wapumbavu nyie,MUNGU si mwanadamu hata awe na dini,huwa najiuliza hivi mataifa makubwa haya ya kigalatia kama Marekani,Urusi,Uingereza,Ufaranja,Germany na nk,yangekuwa ya kiislam nadhani dunia ingelia sana,MUNGU huwa anajua jamani,nani ampe,mngepewa nyie hizo nguvu,wagalatia tungekoma.

Povu linakutoka tu huna point ya msingi zaidi chuki ya udini ndio ilokutawala
 
Siku akienda kuwatibu wagonjwa waliolala kwa zaidi ya miaka 5 mahospitalini live bila ya chenga ndipo nitakapomuamini kuwa si gari hata ndege atakuwezesha

Tatizo watu wanamuamini sana shetani kuliko Mungu. Hawaamini kwamba Mungu anaweza kufanya hivyo ndio maana wanamsingizia shetani.hata kama ikitokea kafanya hivyo watu watasema anamtumia shetani.
 
Hyo Lusekelo mwiz tu... Km mzee wa upako atembelee shule za watoto viziwi, vipofu na wenye ulemavu atoe upako ndo ntamuamin.

Tatizo watu wanamuamini sana shetani kuliko Mungu. Hawaamini kwamba Mungu anaweza kufanya hivyo ndio maana wanamsingizia shetani.hata kama ikitokea kafanya hivyo watu watasema anamtumia shetani.



Mtumishi wa Mungu kutembelea Hospitali au Sehemu yenye shida na wagonjwa na kuanza Kutibu watu bila kuitwa au Kumwamini Yesu . Mimi atanifanya nisitamwamini hata kidogo

Mungu hamtibu Asiye amini hata siku moja. Mungu hawezi kutoa upako wake bure kwa mtu ambaye hamwamini. Angalia mifano ya Yesu alivyokuwa anafanya kazi. Alienda sehemu ambazo watu walimwita na walioamini kwamba anaweza kuponya ndo alienda.....

Sasa kama angekuwa anaenda tu na kutibu watu bila kumwamini au kumwita. Inawezekana huyo Mgonjwa au ndugu zake walishaenda kwa Mganga wakaambiwa watapona. Sasa unadhani watamwamini Yesu au Mganga?
 
wakuu namimi nataka gari,?
Huyu mzee wa upako ana nini? Naangalia now ch.10
 
Nenda kamuulize mwenyewe kanisani kwake au tafuta namba zake umpigie akupe ufafanuzi vinginevyo hapa utapata pumba tu kama ndo unavotaka.
 
Piga kazi mkuu ununue gari. Achana na hayo sijui ya miujiza. Wabongo punguzeni kupenda vya short cut
 
yani ni hivi watu wanantoa shuhuda, extraordinary,.
Wanachukua magari kwa mzee wa upako.

Biashara matangazo mkuu, yeye anayo mangapi?


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
the unhappenings are happening.,
guyz im plannin to attend his service.
Watu wenyewe wanashangaa tu wamejikuta wana magari..

Stunned....!!!
 
the unhappenings are happening.,
guyz im plannin to attend his service.
Watu wenyewe wanashangaa tu wamejikuta wana magari..

Stunned....!!!

naona keshafanikiwa kupata mmoja hapa...

marketing strategy yake ni nzuri..
 
his audience is kind of a very wealthy....
 
Back
Top Bottom