Wagalatia bana!
Kukemea dhambi kutakimbiza wakristu na kukosa fedha ya aibu.
Injili ya utajiri inapendwa na wasiomjua vema EL-SHADDAI.
Wewe Huwa Unapeleka Kwa Waganga Kama Kanisani Hupeleki
Ha ha hautamaliza mfungo kweli wewe?
Wagalatia bana!
Wagalatia wamebarikiwa sana na Mungu,hilo hata nyie magaidi mnalijua sana,misikiti yenu imejaa chuki na mipango ya kujitoa mhanga kwa kwenda mbele,mnahubiri mauaji tu,na ujinga wa kusema eti nyie ni dini ya kweli,wapumbavu nyie,MUNGU si mwanadamu hata awe na dini,huwa najiuliza hivi mataifa makubwa haya ya kigalatia kama Marekani,Urusi,Uingereza,Ufaranja,Germany na nk,yangekuwa ya kiislam nadhani dunia ingelia sana,MUNGU huwa anajua jamani,nani ampe,mngepewa nyie hizo nguvu,wagalatia tungekoma.
Ukitaka ufalme wa duniani nenda.......but ufalme wa mbinguni ndo cha kwanza mengine mtazidishiwa...mi simkubali kabisa mzee wa upako anahubiri utajiri tu...sijaona akihubiri jinsi ya kushinda dhambi na kwenda mbinguni...hata shetani nae ni tajiri so kuweni makini na hayo magari
utamaliza mfungo kweli wewe?
Huna kazi nyingine tofauti na kuwaandama wachagga mkuu!!
Poor you,.
Wachaga ndio majizi ya mjini hapa manake wengi hawakusoma.
WATU WANGU WANAANGAMIZWA KWAKUKOSA MAARIFAMmmmmh Watu wangu wanaangamia kwa kukosa Maarifa...
Halafu utakuta hao watu kwenye Vyumba vyao Picha za Yesu hamna Ila Za Mchungaji. Wanamuinua zaidi mchungaji kuliko Mungu..
Yesu alisema Tutawatambua kwa Matendo yao. Kwa huyu Mzee wa upako nampa 0%.. Mtu gani kila sa wapokea Pesa madhabahuni.. mahali Ambapo ni Patakatifu kila mtu anakuja anakanyaga