Mzee wa upako na magari

Mzee wa upako na magari

wajinga ndo waliwao,hamjajifunza kwa kakobe tu?
Ujue kuna vitu vingine havihitaji hata shule ni akili tu ya kawaida, mfano unaenda kuungama dh@mbi kwa m/damu mwenzako au huyo nabii anaoteshwa na mungu na anapiga mnada kitu flani kwa bei ya juu na atakaenunua anasamehewa dhambi zake...
Mtabaki hivyohivyo wajanja wa miujiza ya nigeria wanaendesha hummer.
wewe unachuki na kakobe!!!
Fuatilia kakobe unaye mponda ameitwa canada sasa hivi yupo huko !!!
Wewe unaponda wenzio wamemwita!!!
 
Naangalia channel mda uu eti kuna watu wanatoa ushuhuda baada ya kupewa sabuni kutoka kwa mzee wa upako wakaogee watapata magari..ii imekaaje wakuu
Mzee wa upako anayaelewa sana mawazo ya watanzania wengi. Anatumia mawazo hayo kuwachezea na wanachezeka
kwelikweli!
 
Naangalia channel mda uu eti kuna watu wanatoa ushuhuda baada ya kupewa sabuni kutoka kwa mzee wa upako wakaogee watapata magari..ii imekaaje wakuu

utamu wa pipi ni mate yako mkuu.
 
Zabuni za ubuyu bana si mchezo haya napita tu
 
Imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo ni bayana ya mambo yasiyoonekana
 
Ya kaizari tumwachie kaizari japo waumini yafaa kutafakari kwa kina kabla kutenda na hata yafaa kuangalia hata mapendo ya mchungaji wako
 
huyo tapeli tu.

Acheni wivu wa kijinga nyie, mbona mnakuwa na mawazo ya kimasikini hivyo? ameshakutapeli nini hadi umwite tapeli? hayo ni masuala ya kiimani watu wanafanya na wanafanikiwa, kama wewe hauamini vunga waachie wanao amini. Acheni hizo nyie.
 
Aliowapa magarii wanatoa ushuhuda hapa chanel ten sahivi.

kama umeshndwa kung'oa mademu kisa huna gari,mcheki Mch.Lusekelo fasta.
 
Back
Top Bottom