Eliphaz the Temanite
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 3,018
- 1,152
Mazingaombwe! Believe me itasugua bench na hilo gari hutaliona. Kinachofanyika ni maigizo hawa watu wamepandizwa...!
Sikilizen wandugu mimi ni mfuasi wa mzee wa upako nilikwenda pale kwa kuwa nilikuwa na dhiki zangu si utani nilichoka mbaya, kama ukisikiliza maubiri yake jamaa anafundisha maisha, kujiamini na kupambanua mambo, yale mahubiri ukiyapata mara nyingi unaanza kujibiidisha kwa nguvu,hivi sasa ninavyoandika thread hii nina kazi na gari ninalo mkuu
wakuu namimi nataka gari,?
Huyu mzee wa upako ana nini? Naangalia now ch.10
bora habari haijakamilika..
data ulikua unawahi wapi
Imani yako pamoja na juhudi binafsi ndizo zitakazokupatia mchuma
Amedata na magari huyo.
Labda mi nimuulize yeye ni she au he?
Kama ni he pole yke.
Kama ni she, there are two things involved.
Ameen.Bwana yesu apewe sifa.
Naangalia channel muda huu naona eti kuna watu wanatoa ushuhuda baada ya kupewa sabuni kutoka kwa mzee wa upako wakaogee watapata magari.
Hii imekaaje wakuu?
wakuu namimi nataka gari,?
Huyu mzee wa upako ana nini? Naangalia now ch.10
Huyo tapeli asubiri Kwenda motoni tu maana anakufuru kupita kiasi na Mijitu isiyofikiri Vema inamfuata tukuna uzi humu JF ulizungumzia kuhusu anoited water na inauzwa. Kuuzwa au kutouzwa, hakuongezi au kupunguza madai ya kupona au kutopona !
Tena ni bora yeye anayegawa magari kuliko wanaogawa jambia na mabomu na tindikali.KUwafundisha kupata mali si kosa je wataka awafundishe kujitoa muhanga na kurusha mabomu?
Povu linakutoka tu huna point ya msingi zaidi chuki ya udini ndio ilokutawala