Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,903
- 1,053
Ni vigumu kubishana na watu wenye hoja za nguvu badala ya nguvu za hoja.Mbona povu linakutoka au ni wale wale nini.Kwa taarifa yako majengo ya makanisa mengi (lutherani/katoliki) ni mazuri hata huko vijijini.Makanisa ya kina mzee wa upako yako Dar tu ukienda vijijini hawajulikani na ukichunguza kwa makini waumini wa mzee wa upako / kakobe wengi wamechanganyikiwa,wamepoteza dira ya mwelekeo wa maisha,wamekata tamaa.Nina wasiwasi hata wewe ni mmoja wao.
Nakuacha jinsi ulivyo. Ila ngoja nikusaidie kidogo.
Kwa taarifa mimi nasema kitu nafahamu maana huko kote nimekuweko na sasa siko. Majengo yenu yote mazuri na mabaya hayatakwenda mbinguni lakini wewe waweza kwenda au kutokwenda mbinguni kutegemea na umejitayarisha vipi.Kama unataka kujua mimi niko wapi ni hivi; mimi nilikuwa mlutheri kwanza na sasa sina dhehebu natafuta tu kwenda mbinguni bila dhehebu kwani haiwezekani?