...mungu ampe pumziko la amani mzalendo wa taifa letu...! nakumbuka (ingawa sina uhakika kama alikuwa "akizua") namna "Chavda wa zama za lyatonga", alivyotoboaga siri ati alijificha nyumbani kwa marehemu pale alipohukumiwa kuwa P.I NA IDARA YA Uhamiaji, mpaka uamuzi ulipobadilishwa kwa kushinda rufani ktk suala hilo...RIP mzee Apiyo!
Ndugu zangu
Mzee Timoth Apiyo amefariki dunia usiku wa jana akiwa katika matibabu South Africa katika Hospitali ya Mill Park South Africa.
Serikali ikishirikiana kwa karibu na ubalozi wetu South Africa unafanya mipango ya kusafirisha mwili kuuleta Tanzania.
Msiba upo nyumbani kwake Sitaki Shari.
Poleni sana wafiwa; Clay; Slyvia pamoja na wanafamilia wote.
Bwana alitoa na Bwana ametwaa.
Rest in Peace Mzee Apiyo. You lived your life kwa uadilifu wa juu.