Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 62,115
- 110,766
Utashangaa sasa watu wanaenda kuuza sura kwake wakati walishindwa kumsaidia akiwa hai licha ya kuwa kiongozi mwandamizi mstaafu wa serikali. anyway labda Familia itaambulia angalau rambirambi.