Mzee Timothy Apiyo Afariki Dunia

Poleni sana familia, ndugu, jamaa na watanzania wote kwa msiba huu. Tutamkumbuka mzee wetu kwa utumishi uliotuka, uzalendo na weledi wa hali ya juu katika utumishi wake. Mungu aifariji familia yake katika kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na mpendwa wao
 
Historia haiandikwi katika vitabu peke yake.....na wala si kwa ajili ya mitihani ya primary wala secondary peke yake

Hii mpya, tena kali sana!... Ulitaka tumfahamu kupitia simulizi (oral tradition)? Huyu mzee hayupo kwenye vitabu, hata vinavyouzwa kwenye bookshop BWANA. Unataka tukamtafute kwenye nyaraka za serikali?... Si kioja hiki?!!!...

Wewe eleza tujue tu tumepoteza mtanzania mwenzetu na mzee wetu.. Habari za historia mzee huyu hajawa recorded na history yake kuwa wazi kwa wote.
 
Pole sana wafiwa r.i.p mzee , sasa nyie mnalalamika kwenye hostoria ah andikwa kwenye vitabu Ima maana hata magazeti huwa hamsomi kipindi kile analalamika vijana wa dot com mna matatizo nashukuru serikali ilimtunza mwishoni Aibu sana mtu anakuwa muadilifu ndo anaishi kuchekwa na jamii mafisadi tunawapongeza !
 
Back
Top Bottom