Ndugu zangu
Mzee Timoth Apiyo amefariki dunia usiku wa jana akiwa katika matibabu South Africa katika Hospitali ya Mill Park South Africa.
Serikali ikishirikiana kwa karibu na ubalozi wetu South Africa unafanya mipango ya kusafirisha mwili kuuleta Tanzania.
Msiba upo nyumbani kwake Sitaki Shari.
Poleni sana wafiwa; Clay; Slyvia pamoja na wanafamilia wote.
Bwana alitoa na Bwana ametwaa.
Rest in Peace Mzee Apiyo. You lived your life kwa uadilifu wa juu.
Updates: as at 11th June 2013 at 11.00 PM
Unless kama kutakuwa na mabadiliko, status iko hivi:
- Death Certificate itatolewa kesho Wednesday 12th June 2013
- Mwili utawasili Alhamis Mchana na SAA
- Ijumaa itakuwa shughuli ya kuuaga mwili wake nyumbani kwake Sitakishari