johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,152
- 142,244
Nakumbuka wakati nachukua kadi ya Chadema 1992 nikiwa na Makamanda wenzangu mzee Mtei alisema Chadema ni chama ambacho hakitachoka
Mzee Mtei akasisitiza kuwa muda utafika vyama vyote vitakuwa vimechoka kiitikadi na Wananchi Katika ujumla wao watatukabidhi Dola
Huwa nayakumbuka sana maneno haya ya mwenyekiti mstaafu wa Chadema
Jumaa kareem!