Mzee Mtei ni mtu mzuri sana

Wewe unafikiria hakuna mwenye uwezo kuliko yeye? Kupishana katika uongozi ndio uungwana. Kijana kama Saa Name angepewa nafasi angekifikisha chama mbali.
 
Kabisa mimi nakumbuka maongezi yangu na Mzee Wangu Bob Makani mahala fulani magomeni mikumi “ unaona leo chama kinapingwa hivi hadharani basi kuna siku watakiunga mkono hadharani pia “ hiyo ni mwaka 2001 akiwa bado mwenyekiti wa chadema taifa, watoto wadogo walikua bado wananyonya.
 
CCM itakaposhindwa kuaminika tena, CCM na CHADEMA watakaa na kulinda Chama kipya kukiwa na wanachama makini wa pande zote akiwemo Mbowe na kupata uwaziri Mkuu!!

Hays yatatokea kuanzia sasa hadi 2030 Baada ya Katiba mpya kupatikana!

Baada ya Katiba siasa MPYA zitazaliwa na vyama vipya pia!

Mimi najiandaa na hayo na kadi mpya nitachukua na Hii ya ccm nitaifungia kabatini kea ukumbusho kea wajukuu WANGU!

Mungu IBARIKI NCHI YANGU Tanzania
 
Kabisa mimi nakumbuka maongezi yangu na Mzee Wangu Bob Makani mahala fulani magomeni mikumi “ unaona leo chama kinapingwa hivi hadharani basi kuna siku watakiunga mkono hadharani pia “ hiyo ni mwaka 2001 akiwa bado mwenyekiti wa chadema taifa, watoto wadogo walikua bado wananyonya.
Hakika mkuu
 
Back
Top Bottom