Kalunguine
JF-Expert Member
- Jul 27, 2010
- 2,543
- 134
mwanzoni nilikuwa najua ni CHAGA DEVELOPMENT MANIFESTO kumbe CRISTIAN DEMOCRATIC MOVEMENT? na hii ndo sababu ya kuanzisha jina la CDM badala ya chadema?
mungu wangu wee! kumbe ndo maana yake?
mwanzoni nilikuwa najua ni CHAGA DEVELOPMENT MANIFESTO kumbe CRISTIAN DEMOCRATIC MOVEMENT? na hii ndo sababu ya kuanzisha jina la CDM badala ya chadema?
hata wachache wana haki! Mbona bara ni wengi kuliko Zanz lakini idadi sawa?Wabongo mnanishangaza sana kuhusu suala la udini.
Yaani nyinyi mtu kuitwa Abdallah au John tayari mmesham-categorize kwenye dini fulani.
Mnasahau kua dini sio Jina, bali vitendo. Hivi mnawajua vizuri kimatendo hao mnaowaita waislam/wakristo???
Ok, tume ina wajumbe wengi wenye majina ya kiislam so wakristo wanalalamika, but waislam nao walalamike kwa kua Mwenyekiti wake Warioba ana jina la Kikristo????
Unataka ku-balance members between Zanzibar na Bara kwa kuweka idadi sawa. Zanzibar 99.99% ni waislamu so nusu ya wajumbe wote, yaani wale wa Zanzibar wote inakua waislam.
Unakuja bara atleast ni nusu kwa nusu so Bara unapata nusu waislam, nusu wakristo,
Mwisho wa Siku unategemea nini hapo?? Kosa liko wapi hapo??
Hii ni kamati ya kupokea maoni ua ni kamati ya kupanga utaratibu wa kuabudu !???
Kanisa.................................
unataka kesi za ndani ya nyumba za waislam uletewe wewe ambaye hata kuchinja kuku hujui?
Tutafutie wewe Wazanzibari unaoona wanaweza kuwa kwenye tume.
Ukishutumu kitu unatakiwa uje na mbadala, sio unalalama tu, na Serikali ya sasa ina Waislaam wangapi na Wakristo wangapi? chadema ina waislaam wangapi na wakristo wangapi?
Fikiri!
mfichaficha maradhi kifo kitamuumbua.ukijaribu kujiweka nje ya box na kushirikisha ubongo wako vizuri unaweza kusema bila unafiki kwanini zanzibar hamna mjumbe mkristo hata mmoja?hakuna mkristo mwenye sifa ya kuwa kwenye hiyo tume?hii inaleta picha gani?...tuongelee facts na tuache kujadili watu na kutoa comment za kitoto.we are bulding the future of our nation for us and the coming generations....We na Mtei wako wadini wakubwa na roho zenu zina kutu mbaya kama chuma kilicho ardhin tangu mwaka 47. Nawe ni miongoni mwao wadini wakubwa.
mzee Mtei katoa maoni yake na siyo maoni ya chama...kwahiyo sioni point yako unapolazimisha kituMtei kahitimisha ukweli unaosemwa kila siku kuwa CHADEMA ni chama cha mrengo wa kidini, amebainisha wazi na bla kificho. Hata mkatae vipi, I agree, Mtei hakufanya mistake, imebidi ahihirishe ukweli unaofichwa siku zote.
Hiki si chama cha kukiunga mkono, udini mtupu na watatuletea balaa kubwa kwenye nchi, wana nia mbaya kabisa.
Mtanzania yeyote asiye mdini hawezi kabisa kukiunga mkono chama hiki. Huo ni ukweli usiopingika.
Duu! Thread kama hizi huwa zinakua na memba wageni wengi kwann?