bokassa
JF-Expert Member
- May 19, 2007
- 401
- 12
wewe ulikuwa wapi uchaguzi wa igunga?
au ni yale yale ya selective outrage?!?!?!
Jibu hoja Kid!!!
wewe ulikuwa wapi uchaguzi wa igunga?
au ni yale yale ya selective outrage?!?!?!
Jibu hoja Kid!!!
Hakuna kambi hapa
udini wenu na mahakama zenu za kadhi pelekeni huko saudia na sio hapa tanzania
Tunataka kuongea na wenye akili sasa!! we hamia kwenye thread ya kanumba!!
kuna hoja yoyote ile?
Niliuliza "Kulalamika waislamu wanapendelewa dhidi ya wakristo ndio msimamo wa chadema mpaka Zito aonekane anahujumu chama kwa kukemea udini wa Mtei?"
Na je utetezi wa religion balance wa muasisi Mtei ni Ktk Mambo yepi? Kila idara ya serikali au tume ya katiba tu? Hizo idara nyengine wakristo pia wachache au kuna balance kati yao na Waislamu? Baraza la mawaziri linachaguliwa na JK pia, je waislamu na wakristo wapo sawa kwa idadi? Hata kipindi yeye Mtei alipokuwa member wakati wa Kambarage je idadi ili balance au wakati huo alikuwa mkomunisti hakuona? Ba mkwe una ajenda gani?
Nikahitimisha kuwa, kwangu mimi hapa ba nkwe anadhihirisha tu ukweli juu ya ajenda ya siri ya Chadema. We dogo hukusikia siku Lema alipoenguliwa ubunge Arusha, kupitia clouds FM mdada akilalami "huu ni wakati wa Yesu, huu ni wakati wa Yesu, huu ni wakati wa Yesu, huu ni wakati wa Yesu, ............yehova unaacha wanao tunahukumiwa mchana peupee!!!!!.." Kwako wewe Lema ni Mchungaji, Padiri au Askofu???!!!!
Kama hujaelewa nenda kwa babu loliondo ukapate kikombe!!! Kwi kwi kwiiii-wajinga ndio waliwao!
Mtei hakukosea chochote, yuko sahihi kabisa 100%
Fikiria kwa makini alichokisema
Kisha uamue kama alichokisema ni uongo au ukweli?
paulss kabla hujatoa maoni yako tuambie kama unaukubali ukweli wa Mtei. Kama unaona Mtei kadanganya tuambie.Kunatofauti kubwa kati ya kusema ukweli na kuutolea maoni huo ukweli kwa mustakabali wa nchi
Mfano, mtu anasema Dr Slaa ni padri, ni mkristo, maisha yake yote amekulia kanisani na amesomea sheria za kanisa hadi level ya PHD, na anaishi na kuzaa na mke wa mtu,......................Huu ni ukweli
Lakini akianza sasa kutoa maoni kuhusu ukweli huo labda nchi haina dini kwanini tuongozwe na padri aliyesomea sheria za kanisa?anaweza kupendelea dini yake. kwanini tuongozwe na mtu asiye na maadili anayeishi na wake za watu........... haya ni maoni na ndio yanayogomba
Lakini katika mfano huu, kama utamuangalia Dr slaa kwa jicho la kitaifa utaona ni haki yake na katiba inamruhusu na anauzalendo, lakini kama utamuangalia Dr slaa kwa jicho na mtazamo wa kidini utamuona yupo kwa maslahi ya wakristo na si taifa.......kama alivyofanya Mtei
Kwasababu kung'ang'ania tu alisema ukweli hakusaidii, angeweza kusema hata kwanini hakuna mjaluo au muhindi au msambaa, or whatever, huo nao si ni ukweli............
Tunachokiona kwenye bandiko la Mtei ni kwamba ameingalia tume kwa jicho na mtazamo wa kidini na kikanda, kitu ambacho hata yeye anajua jinsi Nyerere alivyotumia muda mwingi kukipiga vita na anajua CDM inaathirika vipi kwakuwa tu kuna watu wamezusha na kuifanya ionekane katika jicho la kidini.
Tuungane kwa pamoja kumuonyesha mzee hapa ulighafirika kidogo then maisha yaendelee, lakini kubaki kufungua masredi kumtetea mtu ambaye hata chama cheke mwenye alicho kiasisi kimemnawa kwa tamko rasmi ni kupoteza muda bure na kufanya azidi kuchambuliwa udhaufi wake
Kama ulikuwa unataka kutoa tu hako ka dukuduku kako si ungeandika kule kwenye mijadala inayoendelea?
Kulikuwa na sababu gani za kuanzisha hii thread mpya? au na wewe ilimradi tukuone upo?
nakuambia ukweli, hakuna mtz atakayependa waislam wawe wengi kiasi kile, kama yeye sio muislam. sisi wakristo tuna feel kuwa hakuna balance iliyofanyika, tupo insecure ktk maslahi yetu. why this lakini.
paulss kabla hujatoa maoni yako tuambie kama unaukubali ukweli wa Mtei. Kama unaona Mtei kadanganya tuambie.
Mtei kasema ukweli unaouma, ndio maana wengi wenu mnaoangalia udini badala ya facts zilizopo mnashambulia Mtei badala ya aliyesababisha huo ubaguzi (JK).
Wabongo mnanishangaza sana kuhusu suala la udini.
Yaani nyinyi mtu kuitwa Abdallah au John tayari mmesham-categorize kwenye dini fulani.
Mnasahau kua dini sio Jina, bali vitendo. Hivi mnawajua vizuri kimatendo hao mnaowaita waislam/wakristo???
Ok, tume ina wajumbe wengi wenye majina ya kiislam so wakristo wanalalamika, but waislam nao walalamike kwa kua Mwenyekiti wake Warioba ana jina la Kikristo????
Unataka ku-balance members between Zanzibar na Bara kwa kuweka idadi sawa. Zanzibar 99.99% ni waislamu so nusu ya wajumbe wote, yaani wale wa Zanzibar wote inakua waislam.
Unakuja bara atleast ni nusu kwa nusu so Bara unapata nusu waislam, nusu wakristo,
Mwisho wa Siku unategemea nini hapo?? Kosa liko wapi hapo??
Mbona unjipinga mwenyewe? Umesema Ukristo na Uislamu si jina bali ni matendo. Kama hivyo ndivyo sasa unasemaje Wazanzibar 99.9% ni waislamu? Hiyo ni kwa majina au kwa matendo? Na unaposema nusu kwa nusu Tanganyika ni wakristo na Waislamu, je unamaanisha ni kwa majina au matendo?
Mimi naona ajenda yako ni ile ile ya udini. Unajaribu kutetea kuwa tume ilivyo iachwe hivyo maana unajua ina faida upande wa dini yako. Ajenda ya kadhi imekuwa kubwa katika nchi hii. Kwa nini serkali inataka kujiingiza katika taratibu za kuendesha dini za watu. Hapa Tz kuabudu iwe hairi ya mtu kuingia au kutoka. Kama mtu akishaingia kwa nini asifuate misingi ya dini yake bila shinikizo la katiba? Hili si jambo la imani ya mtu aliyoingia kwa hiari yake? Mbona kila dini inataratibu zake? Na kila dini inaona yale inayoyasimamia ni ya muhimu sana. Iulize kila dini ingependa taratibu zake ziingizwe ndani ya katiba na ifuatwe na watu wote. Lakini tuacheni watanzania tuwe huru katika mambo ya imani zetu. full stop!!!!!!
Fikiria kwa makini alichokisema
Kisha uamue kama alichokisema ni uongo au ukweli?