TANZIA Mzee Mpili wa Yanga afariki dunia

Protect

Senior Member
Joined
Apr 4, 2020
Posts
123
Reaction score
434
Uongozi wa Young Africans Sports Club umetangaza kutangaza kifo cha Mwanachama wake, Haji Omari Ramadhani Mpili kilichotokea usiku tarehe 27, Septemba 2026 katika Kituo cha Afya cha Wilaya ya Ikwiriri, Mkoa wa Pwani alipokuwa akipatiwa matibabu.

Mazishi yanatarajia kufanyika Septemba 28 majira ya saa 10:O0 Jioni katika Makaburi ya Msikiti mkubwa, Wilaya ya Ikwiriri, Mkoa wa Pwani.

​

View attachment 3679531
 
Shabiki Mwandamizi wa klabu ya Yanga Mzee Mpili Afariki Dunia, Mzee Mpili Amefariki Dunia wakati akipatiwa Matibabu katika hospital ya ikwiriri huko Rufiji mkoani Pwani.

Uongozi wa Young Africans Sports Club umetangaza kutangaza kifo cha Mwanachama wake, Haji Omari Ramadhani Mpili kilichotokea usiku tarehe 27, Septemba 2026 katika Kituo cha Afya cha Wilaya ya Ikwiriri, Mkoa wa Pwani alipokuwa akipatiwa matibabu.

Mazishi yanatarajia kufanyika Septemba 28 majira ya saa 10:O0 Jioni katika Makaburi ya Msikiti mkubwa, Wilaya ya Ikwiriri, Mkoa wa Pwani.

​
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…