kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 12,313
- 12,613
Katika siku za mwanzoni za awamu ya tano Mzee Mkapa alikuwa wa kawaida kuonekana hadharani na kwenye vyombo vya habari akisema na kushauri hili na lile kwa manufaa ya watanzania. Ghafla ametoweka hewani kuliko mzee Mwinyi kama vile mtu aliyeishiwa ghafla na jambo la kutushauri watanzania. Yuko wapi mzee wetu huyu sasa hivi?