Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,676
- 126,844
Anakula upepo Lushoto
Ile hotuba ya juzi lazima atajificha mpaka tumsahau labda Magufuli kawaambia wakitaka kusalimika basi wasionyeshe sura zao hovyo hovyo wamuache awakanyage katika mikutano ya hadhara. Huyu jamaa anatakiwa kufungwa na waliomfuata.Katika siku za mwanzoni za awamu ya tano Mzee Mkapa alikuwa wa kawaida kuonekana hadharani na kwenye vyombo vya habari akisema na kushauri hili na lile kwa manufaa ya watanzania. Ghafla ametoweka hewani kuliko mzee Mwinyi kama vile mtu aliyeishiwa ghafla na jambo la kutushauri watanzania. Yuko wapi mzee wetu huyu sasa hivi?
Jamaa kawachana bila kuwataja na kasema hawalaum lakini lazima aseme ukweli.
alikwenda kutafuta visa?Nilipishana nae kwenye moja ya baalozi za ulaya week chache zilizopita hana neno.
Wengine wakisema ukweli wanafungiwa,kwani MAWIO si walisema ukweli?Jamaa kawachana bila kuwataja na kasema hawalaum lakini lazima aseme ukweli.
Ha ha ha ha, mkuu angalia mikono yako kama vidole vyote vipo sawa. Kwani umesahau hata nyumbani baba anaruhusiwa kurudi wakati wowote jaribu wewe. Hii ni hali ya kawaida kwa kila kona. UK manesi na madaktari wanalalamika mishahara Theresa May kawaambia tunafunga mkanda serikali haina pesa juzi kasaini mkataba na DUP na kawamegea 1b£ kusudi abaki madarakani.Wengine wakisema ukweli wanafungiwa,kwani MAWIO si walisema ukweli?
Ha ha ha ha, mkuu angalia mikono yako kama vidole vyote vipo sawa. Kwani umesahau hata nyumbani baba anaruhusiwa kurudi wakati wowote jaribu wewe. Hii ni hali ya kawaida kwa kila kona. UK manesi na madaktari wanalalamika mishahara Theresa May kawaambia tunafunga mkanda serikali haina pesa juzi kasaini mkataba na DUP na kawamegea 1b£ kusudi abaki madarakani.
Hiyo kampeni ya mwaka 2020 imeanza kiaina, ndugu yangu Lowasa ajiweke vizuri maana jamaa anatumia Urais kufanya kampeni za siasa.
Nakubaliana na wewe kwa kiasi Fulani, lakini ukweli unabaki palepale hawezi kuibadilisha hii nchi kwa Katiba za kuwasamehe wezi kama kina Mkapa na JKikwete(Mjomba wa dada yetu FF).Magu anavyo bomoa kuta chafu atatamani kweli. Juzi tu Sengerema katema cheche khs ubinafsishaji wa viwanda Mkapa alivyo tuingiza chaka. Walitegemea Magu atafata nyayo zao wanahc kawageuka kumbe kaja kwetu walala hoi. Hii nchi isingelimpata Magu tungeliisha kabsa. Ngoja atukomboe Mara ya pili baada ya kupata uhuru na Nyerere kupumzika nchi ilirudi kwa wakoloni weusi. Walitupiga kuliko wazungu. Laiti Lowassa angeikamata nchi hii uwiiiiiiii tungerudi utumwani. JK, huenda kwa hilo tu ndo ntamkumbuka.
Twaweza hawakukoseaWengine wakisema ukweli wanafungiwa,kwani MAWIO si walisema ukweli?
ha ha ha ha, balaa kama balaa. Tatizo kina Lizabon hawataki kabisa tuwaguse hawa jamaa utadhani ni miungu. Ila nadhani wanaumia sana kisaikolojia jinsi jamaa anavyowasema kila kukicha. Inaonekana walifanya la maana sana kuweka kile kipengele cha kusamehewa huyu jamaa lazima angewaweka kolokoloni siku nyingi.Huyu ndo aliyetuletea hili balaa!
Mkapasasa hivi atakuwa anasoma yale mabox na mabox ya vitabu aliyokuwa analetewa kila mwezi pale Sea View,huku anakunywa Scotch Whisky, kama hajaacha.Katika siku za mwanzoni za awamu ya tano Mzee Mkapa alikuwa wa kawaida kuonekana hadharani na kwenye vyombo vya habari akisema na kushauri hili na lile kwa manufaa ya watanzania. Ghafla ametoweka hewani kuliko mzee Mwinyi kama vile mtu aliyeishiwa ghafla na jambo la kutushauri watanzania. Yuko wapi mzee wetu huyu sasa hivi?
Mtoto wake anajaribu kufukua makaburi.Katika siku za mwanzoni za awamu ya tano Mzee Mkapa alikuwa wa kawaida kuonekana hadharani na kwenye vyombo vya habari akisema na kushauri hili na lile kwa manufaa ya watanzania. Ghafla ametoweka hewani kuliko mzee Mwinyi kama vile mtu aliyeishiwa ghafla na jambo la kutushauri watanzania. Yuko wapi mzee wetu huyu sasa hivi?
Kama unamuhitaji fika "Chatu" kwa haraka lakini sio kwa kukurupuka.Katika siku za mwanzoni za awamu ya tano Mzee Mkapa alikuwa wa kawaida kuonekana hadharani na kwenye vyombo vya habari akisema na kushauri hili na lile kwa manufaa ya watanzania. Ghafla ametoweka hewani kuliko mzee Mwinyi kama vile mtu aliyeishiwa ghafla na jambo la kutushauri watanzania. Yuko wapi mzee wetu huyu sasa hivi?