Mzee Mkapa yuko wapi?

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
12,271
12,568
Katika siku za mwanzoni za awamu ya tano Mzee Mkapa alikuwa wa kawaida kuonekana hadharani na kwenye vyombo vya habari akisema na kushauri hili na lile kwa manufaa ya watanzania. Ghafla ametoweka hewani kuliko mzee Mwinyi kama vile mtu aliyeishiwa ghafla na jambo la kutushauri watanzania. Yuko wapi mzee wetu huyu sasa hivi?
 
Amemalizwa pumzi na makinikia mkuu,muache mzee wa watu apumzike, at least for the time being.
 
Katika siku za mwanzoni za awamu ya tano Mzee Mkapa alikuwa wa kawaida kuonekana hadharani na kwenye vyombo vya habari akisema na kushauri hili na lile kwa manufaa ya watanzania. Ghafla ametoweka hewani kuliko mzee Mwinyi kama vile mtu aliyeishiwa ghafla na jambo la kutushauri watanzania. Yuko wapi mzee wetu huyu sasa hivi?
Mwacheni mzee wetu apumzike,yupo kwake Lushoto
 
Nilimuona majuzi kwenye mazishi ya Rais wa zamani wa Botswana akiwa na salim, kwa sasa nadhani amisharudi.

wewe mawe yanayorushwa kila siku juu ya paa ya nyumba yake unadhani atapata wapi raha ya kujitokeza hadharani? muache aendelee kujificha huko huko Lushoto

kwanza yeye Noah haimhusu
 
unaulizia kimya cha mzee nkapa na msoga.....tafakari kwa nini Mzee mwinyi anatamba sasa kwenye vyombo vya habari.
 
Mwacheni mzee wetu apumzike,yupo kwake Lushoto
hana haki ya kupumzika? Apumzikaje wakati kaacha watu wanateseka? Kwanini aachwe apumzike?

Kupitia huyu mzee hapo ndio naona Mungu ni watafauti kwasabab vitoto vichanga vinakufa kila siku lakin hili zee limekomaa kunyoosha. Labda Mungu kalipa muda litubu lakini wapii
 
Ukimuhitaji nenda Chato Jumapili tarehe 9/07/2017, atakuwa nyumbani kwa mheshimiwa JPM,ataongozana na balozi wa Japan. Watakuwep hadi Jumatatu.
 
Katika siku za mwanzoni za awamu ya tano Mzee Mkapa alikuwa wa kawaida kuonekana hadharani na kwenye vyombo vya habari akisema na kushauri hili na lile kwa manufaa ya watanzania. Ghafla ametoweka hewani kuliko mzee Mwinyi kama vile mtu aliyeishiwa ghafla na jambo la kutushauri watanzania. Yuko wapi mzee wetu huyu sasa hivi?
Yupo sehemu kajichimbia na Acacia wanayajenga ili kesi ikienda mahakamani washinde achukue 10% yake kimya kimya.
 
hana haki ya kupumzika? Apumzikaje wakati kaacha watu wanateseka? Kwanini aachwe apumzike?

Kupitia huyu mzee hapo ndio naona Mungu ni watafauti kwasabab vitoto vichanga vinakufa kila siku lakin hili zee limekomaa kunyoosha. Labda Mungu kalipa muda litubu lakini wapii
Yupo na Acacia wanajipanga kulinda masilahi yao.
 
Katika siku za mwanzoni za awamu ya tano Mzee Mkapa alikuwa wa kawaida kuonekana hadharani na kwenye vyombo vya habari akisema na kushauri hili na lile kwa manufaa ya watanzania. Ghafla ametoweka hewani kuliko mzee Mwinyi kama vile mtu aliyeishiwa ghafla na jambo la kutushauri watanzania. Yuko wapi mzee wetu huyu sasa hivi?

Unamuhitaji aje akupatie ' Zawadi ' ya Mtoto utakayoipata baada ya miezi 9?
 
Back
Top Bottom