Katika siku za mwanzoni za awamu ya tano Mzee Mkapa alikuwa wa kawaida kuonekana hadharani na kwenye vyombo vya habari akisema na kushauri hili na lile kwa manufaa ya watanzania. Ghafla ametoweka hewani kuliko mzee Mwinyi kama vile mtu aliyeishiwa ghafla na jambo la kutushauri watanzania. Yuko wapi mzee wetu huyu sasa hivi?
Alituambia paka ni paka usijali rangi yake bali jali ukamataji wa panya wake. Ninamuonea huruma Rais Magufuli kuhangaika na viwanda ambavyo vilikuwepo vikauzwa na kutelekezwa na waliouziwa. Bahati mbaya Katiba yetu hairuhusu kabisa hata watu wa aina hii walau hata kuhojiwa tu sembuse kushitakiwa. Itashangaza saana tena saana kama mwanamageuzi Rais Dr. Magufuli atatuachia Katiba la aina hii atakapokuwa na yeye ameondoka madarakani. Tena yeye ndiye ambaye atakuja kusononeka sana tena sana kama hivi viwanda vyake anavyovijenga kwa "kujitoa sadaka" vitakuja kuuzwa mchana kweupe kwa bei chee na Rais atakayefuata baada yake, maana kwa katiba hii kila kitu kinawezekana inabaki huruma tu za Rais aliyeko madarakani.huyu mzee si ndie aligawa viwanda vyetu...
na huyu huyu mzee si ndie aliileta iptl na acacia????
Jana kapewa vidonge vyake ............. sidhani kama bado ana hamu tena ya kuendelea kuto ushauri!!Katika siku za mwanzoni za awamu ya tano Mzee Mkapa alikuwa wa kawaida kuonekana hadharani na kwenye vyombo vya habari akisema na kushauri hili na lile kwa manufaa ya watanzania. Ghafla ametoweka hewani kuliko mzee Mwinyi kama vile mtu aliyeishiwa ghafla na jambo la kutushauri watanzania. Yuko wapi mzee wetu huyu sasa hivi?
Mzee ruksa hana makuu,hana kashfa.unaulizia kimya cha mzee nkapa na msoga.....tafakari kwa nini Mzee mwinyi anatamba sasa kwenye vyombo vya habari.
Atakuwa Chato kuanzia Jumapili hadi Jumatatu,ni mgeni wa mhe.JPMJana kapewa vidonge vyake ............. sidhani kama bado ana hamu tena ya kuendelea kuto ushauri!!
Seriously ..................!!?Atakuwa Chato kuanzia Jumapili hadi Jumatatu,ni mgeni wa mhe.JPM
Keshamaliza mafunzo kwenu kama Propesa? au ame-overstay?Sasa hivi unatamani maoni na ushauri wa Mkapa?kweli mmebanwa
Slaa arudi tu kuja kuokoa upinzani
Katika siku za mwanzoni za awamu ya tano Mzee Mkapa alikuwa wa kawaida kuonekana hadharani na kwenye vyombo vya habari akisema na kushauri hili na lile kwa manufaa ya watanzania. Ghafla ametoweka hewani kuliko mzee Mwinyi kama vile mtu aliyeishiwa ghafla na jambo la kutushauri watanzania. Yuko wapi mzee wetu huyu sasa hivi?
Nilimuona majuzi kwenye mazishi ya Rais wa zamani wa Botswana akiwa na salim, kwa sasa nadhani amisharudi.
wewe mawe yanayorushwa kila siku juu ya paa ya nyumba yake unadhani atapata wapi raha ya kujitokeza hadharani? muache aendelee kujificha huko huko Lushoto
kwanza yeye Noah haimhusu