Fikra chanya
Member
- Feb 8, 2012
- 22
- 5
Nani kakwambia anayechaguliwa ni baba yake, inawezekana huyo mzee amerukwa na akili, au ni baba ya kufikia, tuhitaji kumuuliza mama yake iwapo yeye ni baba halisi au kaletewa, kama utafiti wa hivi karibuni juu ya ugumba, nafikiri DNA ni suluhisho, hivi akishinda?, zile posho zilizopanda kule bungeni hatazipokea, au wadau mnasemaje?, inawezekana ni mbinu ya mzee kumtafutia umaarufu mtoto wake.Hii ni dalili moja kubwa ya kushindwa vibaya kwa Mbarouk. kama anataka ushindi ni lazima akamwangukie babaye ili amridhie.
Pole sana Mbarouk