POMPO
JF-Expert Member
- Mar 12, 2011
- 6,690
- 2,402
Swali la kibaguzi wa kijinsia lol..Samahani Candid Scope wewe ni Me au ke?

Mh.pinda atakuwa best man wake!Watapende
zaje?????????
Alianza kufanya ngono zembe na mwajiriwa wake, na pengine alipata nafasi hiyo ya ukuu wa shule hiyo kwa rushwa ya ngono, leo wameamua kutakatisha ufuska waliozoea kufanya kwa kufunga ndoa.
Huwezi kuamini mambo haya CCM katika umri kama huo kufunga ndoa leo wakati mtu ni wa kutunzwa na wajukuu. Hakuna kufanya maendeleo ila kuchuma na kuzitumia kwa kwenda mbele kustarehe na wanawake. Hii habari inatufumbua mengi kama ile ya Gazeti la habari leo Jumapili kuipa Habari Kuu ukurasa wa mbele kuhusu Makahaba wa Kinywarwanda kutinga Dodoma kuwafuata Wabunge kuwapa ridhio la ngono.
Picha yake sijaiona ila details zake nyingine ziko hapa : http://www.facebook.com/yolanda.kaberege
Mkuu maandishi yako haya yamekosa busara sielewi unataka nini zaidi ya kusifiwa kipuuzi.
Alianza kufanya ngono zembe na mwajiriwa wake, na pengine alipata nafasi hiyo ya ukuu wa shule hiyo kwa rushwa ya ngono, leo wameamua kutakatisha ufuska waliozoea kufanya kwa kufunga ndoa.
Huwezi kuamini mambo haya CCM katika umri kama huo kufunga ndoa leo wakati mtu ni wa kutunzwa na wajukuu. Hakuna kufanya maendeleo ila kuchuma na kuzitumia kwa kwenda mbele kustarehe na wanawake. Hii habari inatufumbua mengi kama ile ya Gazeti la habari leo Jumapili kuipa Habari Kuu ukurasa wa mbele kuhusu Makahaba wa Kinywarwanda kutinga Dodoma kuwafuata Wabunge kuwapa ridhio la ngono.
Usiwe na haraka kuna sehemu lazima husomwa historia ya kila binadamu. Yako na yangu itasomwa pia.:A S shade:sio wivu, mbona Mangula tumeambiwa mke wake alifariki 2004 kwa kisukari...sasa kwa nini tusijue na historia ya mama mtarajiwa.?