Mzee Mangula kufunga ndoa na mwalimu kesho...

Mzee Mangula kufunga ndoa na mwalimu kesho...

OK. Tuwaombee maisha mema. Amekuwa mvumilivu sana kuishi muda wote huu bila mke.

Huyu mzee kahalalisha tu. Sidhani kama alikuwa singo miaka yote hiyo tangu 2004 ukitegemea na nafasi aliyokuwa nayo. Tunamtakia mema btw.
 
Ni jambo jema mkuu we oa tu uwe na wako wa kukutunza
 
Nape ameshaandaa gitaa kwa ajili ya ku-grab attention ya wahudhuriaji.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Alianza kufanya ngono zembe na mwajiriwa wake, na pengine alipata nafasi hiyo ya ukuu wa shule hiyo kwa rushwa ya ngono, leo wameamua kutakatisha ufuska waliozoea kufanya kwa kufunga ndoa.

Huwezi kuamini mambo haya CCM katika umri kama huo kufunga ndoa leo wakati mtu ni wa kutunzwa na wajukuu. Hakuna kufanya maendeleo ila kuchuma na kuzitumia kwa kwenda mbele kustarehe na wanawake. Hii habari inatufumbua mengi kama ile ya Gazeti la habari leo Jumapili kuipa Habari Kuu ukurasa wa mbele kuhusu
Makahaba wa Kinywarwanda kutinga Dodoma kuwafuata Wabunge kuwapa ridhio la ngono.


hapo kwenye nyekundu......hii nchi ni ufuska kwa kwenda mbele.....sasa jiulize hao makahaba wanapata paspoti wapi? au ni free pass ili kuja kustarehesha watawala
 
sometimes watu mna majungu humu! eti pinda ndo bestman na wasira maid kwani kuna shida gani?
hongera mangula kwa kupata ndoa ya pili
 
Wamekutana baada ya kupata Umakamu wa CCM Taifa? Mwalimu mkuu shule ya sekondari Phillip Mangula na mme mtarajiwa Phillip Mangula is it coincidence? Mangula mke wake ni marehemu, je Bi harusi mtarajiwa nae mme wake ni marehemu?

Ni pagale!!
 
Back
Top Bottom