Tulimumu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 14,395
- 13,266
shemejiiiiiiiiiii!
hongera sana kwa MKUU WA SHULE YA PHILLIP MANGULA!
hiv hii shule ni ya serikali au binafsi?
NAULIZA TU!
Ni ya serikali sasa huyo dada walipokuwa mapenzi yao yamenoga akapelekwa kuwa mkuu katika shule yenye jina lake. Si unajua shule nyingi za kata zimepewa majina ya viongozi wa CCM? Baada ya ndoa itabidi wife naye ahamie Dar ambako ndiko kwenye ulaji wa mumewe