King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,866
- 24,976
Jk. Akiwa busy sana mwigulu nchemba atamuwakilisha.
hehehehe,HIVI MC ATAKUA NANI?
hehehehe,HIVI MC ATAKUA NANI?
Duuh Tangazo la KIBONDE hili labda ndo atakuwa MC.Wanaenda weeeeeeenyeeeeeeeeewe!dah, afadhali pinda kapata pacha wake aiseemaana tukiwaweka pale kati Pinda, Mangula, mgimwa na Wasira lazma mtu ukae
Alianza kufanya ngono zembe na mwajiriwa wake, na pengine alipata nafasi hiyo ya ukuu wa shule hiyo kwa rushwa ya ngono, leo wameamua kutakatisha ufuska waliozoea kufanya kwa kufunga ndoa.
Huwezi kuamini mambo haya CCM katika umri kama huo kufunga ndoa leo wakati mtu ni wa kutunzwa na wajukuu. Hakuna kufanya maendeleo ila kuchuma na kuzitumia kwa kwenda mbele kustarehe na wanawake. Hii habari inatufumbua mengi kama ile ya Gazeti la habari leo Jumapili kuipa Habari Kuu ukurasa wa mbele kuhusu Makahaba wa Kinywarwanda kutinga Dodoma kuwafuata Wabunge kuwapa ridhio la ngono.
shemejiiiiiiiiiii!
hongera sana kwa MKUU WA SHULE YA PHILLIP MANGULA!
hiv hii shule ni ya serikali au binafsi?
NAULIZA TU!
kaka na wewe!mbn una maswali hv?anaolewa na mwenye shule hamna conflict of interest hapo?.......ni matarajio yangu kuwa mzee mangula bado anakumbuka ile ahadi ya miezi sita
huyo mkuu wa shule within a year atakuwa mkuu wa wilaya. Time will tellmuda si mrefu mkuu wa shule ataukwaa ubunge wa viti maalum kama sio ukuu wa wilaya au hata mkoa. Hapana chezeiya ccm inawenyewe ile.
Khaa!! ya nini bana?? acha wivu kwani unataka kumuoa wewe?? wenyewe wameelewana banamwenye historia ya huyo mwanamke, hajawai kuolewa au kuzaa.?