Mzee Makamba Pole sana

Makamba Snr aliwahi kusema katiba hair lets ugali mezani. Tungekua na katiba bora na nchi inayoongozwa kwa utawala wa sheria. Mtoto wake angeweza kutimiza ndoto zake za kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano.
 
'Mamake una maatatizo ya kiakili, unamuonea huruma Mze Makamba ili iweje? Huyu mtu hastahili huruma yeyote, ni mpuuzi mno na mnafiki aliyeshindikana. Ni bora arudie tu taaluma yake ya uimbaji taarab kama awali.
 
Anabatizwa kwa MOTO.
 
Jiwe alilolikataa Makamba naona limekuwa laana kwa familia yake sasa.
Lazima unabii wa jiwe utakumbukwa tu.
Wa kukumbukwa kwa mema na wala si kwa mabaya,
Amina.
Uovu wote ule alioufanya kwa Taifa ni nani atamsahau. Hata huko alipo ikibidi afe tena. Kama kuna mtu alihusika kwenye kifo chake basi huyo inabidi awe shujaa wa Taifa
 
Alikuacha na mimba ya miezi mingapi mkuu?
Mimba kivip? Mimi wa kiume kama ulikuwa hujui, au hujui hata unachoandika. Mungu fundi sana. Sukuma gang hamtokuja kuongoza tena nchii hii
 
Mambo ya nyakati....
Kabisa,maana alikuwa bingwa wa kutengeneza sinema,leo hii naskia huko Pwani magari yameandaliwa kila kata na vijiji ili waende kwenye uzinduzi wa bandari kavu.Lengo ni kuonyesha kiongozi anapendwa saana.Kuna saa unaanza kuamini hata upuuzi tunaupenda.
 
ALisema wapinzani watabatizwa kwa moto sasa mwanae nae kabatizwa kwa moto.
 
Mwenyekiti ni mkubwa kuliko chama kanusha
 
CCM chama dume, hakuna mkubwa kuliko chama. Siondoki CCM kumpotea January ni zaidi ya ushindi. Yule ni tapeli, mpenda makuu, msaliti, hana adabu, hongera chama langu
 
Huijui CCM. Weka akiba ya maneno.
Usishangae ukasikia January anamrithi Nchimbi kwenye ukatibu mkuu
 
Ha ha wewe ccm huijui,january makamba ashaandalia nafasi kubwa sana kwenye chama,yeye ndio anachukua nafasi ya nchimbi,sio kwamba ametupwa ike imefanywa makusudi
 
Kajifungue hiyo mimba
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Muda wote unawaza kupata mimba tu. Kama umehangaika kwa waganga ukakosa jaribu hata mamposa labda utapata hiyo mimba. Kila kitu wewe unawaza mimba tu πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…