mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 46,337
- 57,160
Wewe sema ulikuwa haumpendi magufuli. Hayo mengine ilikuwa tu njia ya kuonesha chuki zake kwake.
Kila siku ulikuwa unapiga kelel kuhusu barakoa mara lock down lakini leo kimyaa.
Kila siku ulikuwa unapiga kelel kuhusu barakoa mara lock down lakini leo kimyaa.
Kama hatupendi mtu unafiki unatoka wapi?
Wanafiki umewasahau?
Wengine hujawaona wanavaa barakoa sasa baada ya mwenzetu kufa.