Mzee Kikwete, leo ndiyo leo; msituangushe

Mh. Rais mstaafu Jakaya Kikwette tunayo matumaini makubwa kwenu kuwa ule muda ambao taifa hili limeusubiri mno hatimaye umewadia.

Ni wazi kuwa kila mtu katika nchi hii angalipendelea tuishi sote kwa usawa na haki. Utashi wa viongozi wa juu katika kufanikisha hayo ni jambo la muhimu sana.

Kufanya maamuzi magumu yatakayorejesha imani ya wananchi kwa nchi yao itakuwa jambo la msingi mno kwa sasa labda kuliko jambo lolote lile.

Pana watu wakiwamo watia nia wengi waliojaribu kuutaka urais na kura kuwa hazikutosha hali nafasi ni moja wakiwamo akina:

1. Asha Rose Migiro
2. Mzee Mwandosya
3. Bernard Membe
4. Mizengo Pinda
5. Frederick Sumaye
6. Edward Lowassa
7. Abdulhaman Kinana
8. Philip Mangula
9. Anna Mghwira
10. Dkt. Slaa
11. Dkt. Nchimbi
12. Nk nk

Watu ambao hawakuwamo ndani ya establishment ya sasa au wale waliokuwa na maoni tofauti kuhusiana na establishment ya sasa kwa hakika wangetufaa sana.

JK tupeni raha kwa kuandaa mustakabala mwema utakaotuletea mwanzo mpya.
Kwa hivyo mwandosya ni mzee pekee! Na huyu Abdulhaman kijana ni yupi? Au wakusudia comrade AbdulRahman kinana
 
Huo ni mfano wa outsiders ndani ya CCM usiyekuwa ya sasa.

Tunahitaji mabadiliko kamili.

Wote hao wanaweza kuwa bora kuliko:

1. Majaliwa
2. Ndugai
3. Simbachawene
4. Chenge
5. Mwigulu
6. Kabisa

Na wa namna hiyo.

Au nasema uongo ndugu zangu?
Chenge!!?
 
Ndugai na chenge watoe kabisa Ndugai muache azunguke na kiti chake na wale wa ndiyo ahaa
 
thubutuuuu.
Tuombe uzima.
Vipi sasa hivi hautaki kumwambia samia awaambie watu wavae barakoa?.
Au ugomvi wako ulikuwa na magufuli tu?.
sasa hivi ukinwambia samia aweke lock down Ataweka.
Muda ni huu sasa.yale uliyokuwa unayaona magufuli ni mkaidi mwambieni samia afanye
Tanzania mpya inakuja jombi macho yetu kwa mzee wa kaya JK anayo nafasi ya kutupa raha.
 
thubutuuuu.
Tuombe uzima.
Vipi sasa hivi hautaki kumwambia samia awaambie watu wavae barakoa?.
Au ugomvi wako ulikuwa na magufuli tu?.
sasa hivi ukinwambia samia aweke lock down Ataweka.
Muda ni huu sasa.yale uliyokuwa unayaona magufuli ni mkaidi mwambieni samia afanye

Mabandiko yote tuliyoandika kuhusiana na Samia yameendelea kumkumbusha barakoa na social distancing.

Magufuli alitukwaza mno na Corona.

Ukijumlisha na ukatili na kukosa huruma ndiyo kabisa!
 
Mh. Rais mstaafu Jakaya Kikwette tunayo matumaini makubwa kwenu kuwa ule muda ambao taifa hili limeusubiri mno hatimaye umewadia.

Ni wazi kuwa kila mtu katika nchi hii angalipendelea tuishi sote kwa usawa na haki. Utashi wa viongozi wa juu katika kufanikisha hayo ni jambo la muhimu sana.

Kufanya maamuzi magumu yatakayorejesha imani ya wananchi kwa nchi yao itakuwa jambo la msingi mno kwa sasa labda kuliko jambo lolote lile.

Pana watu wakiwamo watia nia wengi waliojaribu kuutaka urais na kura kuwa hazikutosha hali nafasi ni moja wakiwamo akina:

1. Asha Rose Migiro
2. Mzee Mwandosya
3. Bernard Membe
4. Mizengo Pinda
5. Frederick Sumaye
6. Edward Lowassa
7. Abdulhaman Kinana
8. Philip Mangula
9. Anna Mghwira
10. Dkt. Slaa
11. Dkt. Nchimbi
12. Nk nk

Watu ambao hawakuwamo ndani ya establishment ya sasa au wale waliokuwa na maoni tofauti kuhusiana na establishment ya sasa kwa hakika wangetufaa sana.

JK tupeni raha kwa kuandaa mustakabala mwema utakaotuletea mwanzo mpya.
Hivi ww ni pungu wa kiwango cha airbus nini!?
Hivi bado mnategem3a kujipenyeza mtuibie tena! Tutawahasi sasa hivi nyie leteni za kuleta! Magufuli ataendelea kuwatesa sana ninyi na JK wenu mfyuuuuu!
 
Ndugai na chenge watoe kabisa Ndugai muache azunguke na kiti chake na wale wa ndiyo ahaa

Hujaelewa mkuu. List ya pili ni kuonyesha wale wa mwanzo ni bora zaidi ya hawa waliokuwa karibu na jiwe.

Soma taratibu uelewe.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Hivi ww ni pungu wa kiwango cha airbus nini!?
Hivi bado mnategem3a kujipenyeza mtuibie tena! Tutawahasi sasa hivi nyie leteni za kuleta! Magufuli ataendelea kuwatesa sana ninyi na JK wenu mfyuuuuu!

Wewe ni Chatto Inc?
 
Sasa ngoja tuone kama atawasikiza.
Vipi ungependa aweke lock down?
Binafsi yangu NDIO.
Mabandiko yote tuliyoandika kuhusiana na Samia yameendelea kumkumbusha barakoa na social distancing.

Magufuli alitukwaza mno na Corona.

Ukijumlisha na ukatili na kukosa huruma ndiyo kabisa!
 
Hakuna jipya ndani ya zimwi liitwalo CCM, halikuli ukakwisha, uozo ni uleule tu.
Katiba mpya ndio mwiba wa yote haya, na ndio maana mwendazake hakutaka kabisa kusikia kitu hiki.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom