Mzee Kikwete, leo ndiyo leo; msituangushe

Mzee Kikwete, leo ndiyo leo; msituangushe

Kama ulikuwa udikteta basi ni mara mia uendelee kwani ndipo nchi imeonekana kuwa sio maskini kama tulivyokuwa tunaaminishwa.
Unblanced Economy, ndio unayo iona privilege... JIWE nanukuu ' sekta inayo changia ku kua kwa uchumi sio sekta inayo zalisha ajira/ inayo leta circulation ya pesa mtaani,.. uchumi unakua lkn raia still bado masikini.. Uchumi wa kwenye makaratasi..
 
Sijajua kwanini watu wana matumaini na wanapigia chapuo watu wao wakati nafasi ya makamu wa Rais haina influence kivile kwa mujibu wa katiba yetu. Au watu wanaitaka kimkakati zaidi baada ya mama ?
 
Sijajua kwanini watu wana matumaini na wanapigia chapuo watu wao wakati nafasi ya makamu wa Rais haina influence kivile kwa mujibu wa katiba yetu. Au watu wanaitaka kimkakati zaidi baada ya mama ?

Mkuu tumetoka kipindi kibaya kiasi kuwa na wenge kichwani ni sahihi.

Serikali si mtu mmoja.

Tumetoka kwenye serikali ya mtu mmoja. Ambako kila kitu ilikuwa yeye. Mahakama na bunge vilikuwa yeye si kumfanya makamu asiwe na influence tu.

Tunataka mtu wa kushauriana na mama tukawa na serikali yenye kuwajibika kwa watu.

Ambapo ni muhimu kwa machungu yetu inshallah yakapatiwa majibu.
 
Mh. Rais mstaafu Jakaya Kikwette tunayo matumaini makubwa kwenu kuwa ule muda ambao taifa hili limeusubiri mno hatimaye umewadia.

Ni wazi kuwa kila mtu katika nchi hii angalipendelea tuishi sote kwa usawa na haki. Utashi wa viongozi wa juu katika kufanikisha hayo ni jambo la muhimu sana.

Kufanya maamuzi magumu yatakayorejesha imani ya wananchi kwa nchi yao itakuwa jambo la msingi mno kwa sasa labda kuliko jambo lolote lile.

Pana watu wakiwamo watia nia wengi waliojaribu kuutaka urais na kura kuwa hazikutosha hali nafasi ni moja wakiwamo akina:

1. Asha Rose Migiro
2. Mzee Mwandosya
3. Bernard Membe
4. Mizengo Pinda
5. Frederick Sumaye
6. Edward Lowassa
7. Abdulhaman Kinana
8. Philip Mangula
9. Anna Mghwira
10. Dkt. Slaa
11. Dkt. Nchimbi
12. Nk nk

Watu ambao hawakuwamo ndani ya establishment ya sasa au wale waliokuwa na maoni tofauti kuhusiana na establishment ya sasa kwa hakika wangetufaa sana.

JK tupeni raha kwa kuandaa mustakabala mwema utakaotuletea mwanzo mpya.
Hamna matumaini yoyote mapya kwake kama aliweza kutuchezea foul 2015
 
VP anatikiwa awe mtoto wa mjini.
Hao watu pori ni wa kuwaepuka kabisa.
Umenena

kamati kikao sijui mkutano wa kumteua VP waiangalie NCHI NA WANANCHI SIO MATAKWA YA MTU BINAFSI AMBAYO NI KULIPA VISASI KUUMIZA WATU KUJILIMBIKIZIA MALI WENYE KUDHARAU WANANCHI NA WALIPA KODI

Mwigulu hafai - ana mapungufu mengi jeuri dharau mumuuu (anatukana SANA -Muogope Mungu
Ndungai - Afya, kuidharau Katiba, Ubabe
Bashe - Huyu kimaslahi zaidi
Bushiru - Ualimu unamfaa mengine ni yake binafsi labda yana matokeo chanya kama si hasi
Simbachamwene- hana huruma

January - anayo mapungufu lakini ni damu changa ana hekima na ni wa kiasi
Nchimbi- sidhaniii
Shigella - mapema mno

********JK ulibeba lawama usiruhusu ukabeba lawama tena Waangalieni Wananchi kwa ujumla wao likomboeni Taifa rudisheni Umoja Uhuru na zaidi Upendo

Angalieni msijeteua ambao hawaruhusiwi kuingia nchi za wenyewe
Kwa ufupi ni January tu anaweza kuwa salama THE REST MTAINGIA MATATIZONI**
 
Magufuli kilichompa nguvu kuwa na MISIMAMO YA PEKE.
hata mimi mwanzo nilikuwa simkubali kabisa.kutokana na maamuzi yake.
Alichagua mtu anayemtaka hata kama watu watachukia.
Nani alijua kuwa doroth gwajima yule mama atakuwa WAziri wa afya?
Hivyo hivyo Mama nae atachagua anaowataka sio lazima wawe genge la Chato au wewe umkubali
 
Mh. Rais mstaafu Jakaya Kikwette tunayo matumaini makubwa kwenu kuwa ule muda ambao taifa hili limeusubiri mno hatimaye umewadia.

Ni wazi kuwa kila mtu katika nchi hii angalipendelea tuishi sote kwa usawa na haki. Utashi wa viongozi wa juu katika kufanikisha hayo ni jambo la muhimu sana.

Kufanya maamuzi magumu yatakayorejesha imani ya wananchi kwa nchi yao itakuwa jambo la msingi mno kwa sasa labda kuliko jambo lolote lile.

Pana watu wakiwamo watia nia wengi waliojaribu kuutaka urais na kura kuwa hazikutosha hali nafasi ni moja wakiwamo akina:

1. Asha Rose Migiro
2. Mzee Mwandosya
3. Bernard Membe
4. Mizengo Pinda
5. Frederick Sumaye
6. Edward Lowassa
7. Abdulhaman Kinana
8. Philip Mangula
9. Anna Mghwira
10. Dkt. Slaa
11. Dkt. Nchimbi
12. Nk nk

Watu ambao hawakuwamo ndani ya establishment ya sasa au wale waliokuwa na maoni tofauti kuhusiana na establishment ya sasa kwa hakika wangetufaa sana.

JK tupeni raha kwa kuandaa mustakabala mwema utakaotuletea mwanzo mpya.
Huyu Kikwete na kundi lake si ndo kidogo waiue CCM? Leo mnajisahaulisha?
 
Nimekudharau sana!!
 
Wewe ni Mchawi na Mnafiki ,adui wa Taifa. Yaani unataka Kikwete akuchagulie kiongozi? Wewe una akili kweli? Kama unampenda sana kikwete si ukanywe naye Kahawa? Mafisadi mnaanza kufurahi mkijua mnarudi kuibia wananchi.
Kwa hiyo wewe ngumbaru unamtaka genge la wahutu,never
 
Tumepita mifumo mwili hapa. Yaliyotokea Chatto tunayajua.

Kuna viwanja vya ndege vya kimataifa huko. Kuna mbuga za wanyama. Lami zao tunazijua. Kuna madaraja ya Busisi huko. Nk nk.

Mabaya ya Kikwette kama ulivyo ya Magufuli hatuyataki.

Hatutaki Corona, nyungu wala siasa za NIMRI.

Tunataka mwanzo mpya!
Eti ndio uzalendo pimbi kabisa hawa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom