Mzee Kikwete, leo ndiyo leo; msituangushe

Mzee Kikwete, leo ndiyo leo; msituangushe

Umebadili msimamo sasa.
Sasa kwanini uliikuwa unamlazimisha marehemu aweke lock down?.
KWELI MAISHA BILA UNAFIKI HAYAENDI

Wapi umebadilika msimamo mburula mataga wewe?

Mara ngapi tumesema lockdown si njia pekee?

Acha kuhamisha magoli wewe. Uzi huu ni matazamio yetu kupata kiongozi mwenye maono tofauti na Magufuli.

Maono hayo ni yatakayotuongoza kuachana na nyungu na kutambua kuwa science itatuvusha.

Kama wataalamu wa afya watashauri lockdown tutawasikiliza pia.

Hii mambo:

IMG_20210218_174254_207.jpg

Na ikawe historia sasa!
 
Kumbe wewe ni KICHWA CHA PANZI.
Wapi umebadilika msimamo mburula mataga wewe?

Mara ngapi tumesema lockdown si njia pekee?

Acha kuhamasisha magoli wewe. Uzi huu ni matazamio yetu kupata kiongozi mwenye maono tofauti na Magufuli.

Maono hayo ni yatakayotuongoza kuachana na nyungu na kutambua kuwa science itatuvusha.

Kama wataalamu wa afya watashauri lockdown tutawasikiliza pia.

Hii mambo:

View attachment 1730831

Na ikawe historia sasa!
 
Magufuli kilichompa nguvu kuwa na MISIMAMO YA PEKE.
hata mimi mwanzo nilikuwa simkubali kabisa.kutokana na maamuzi yake.
Alichagua mtu anayemtaka hata kama watu watachukia.
Nani alijua kuwa doroth gwajima yule mama atakuwa WAziri wa afya?
Kilichompatia nguvu magufuri ndio kitampatia nguvu samia
 
Kumbe wewe ni KICHWA CHA PANZI.

Kwa sababu msimamo haujabadilika au vipi?

Mmewapigisha nyungu watu hapa huku wakiendelea kupukutika.

Mawazo ya namna hiyo hatuyahitaji tena.

Tunahitaji mwanzo mpya wenye kutambua nchi hii ni yetu sote na haki ndiyo ulio msingi mkuu wa maisha.
 
Mh. Rais mstaafu Jakaya Kikwette tunayo matumaini makubwa kwenu kuwa ule muda ambao taifa hili limeusubiri mno hatimaye umewadia.
MIFUMO/SYSTEMS have never been fair: hatuna namna, bali, ingewezekana Mzee huyu angakaa pembeni asijihusishe na lolote kwakuwa kilichokuwa kinafanyika ni kusafisha yaliyowekwa naye, kwa yeye kukamata hatamu hakika yale yaliyokuwa kero yatarudi maradufu:

Jiulize utitiri wa private bandari kavu zilivyokuwa kichaka cha kupiga hela,
Jiulize mwendo wa kinyonga wa kutekeleza miradi huku ikiwa over estimated?.

Hatuna namna ila Mungu asipotupigania tutaenda kusiko takiwa. Tunamwamini Mungu wa kweli, tutashinda
 
Nchimbi anaonyeshwa sijui watanzania wenzangu mma shida gani.. Januari makamba wa kazi gani
 
Wewe ulifikia hatua mpaka ya kutabiri kuwa tanzania itatokea lock down.
Ulipoona magufuli kagoma ulimlaumu sanaaa vipi leo umebadilika?
Kwa sababu msimamo haujabadilika au vipi?

Mmewapigisha nyungu watu hapa huku wakiendelea kupukutika.

Mawazo ya namna hiyo hatuyahitaji tena.

Tunahitaji mwanzo mpya wenye kutambua nchi hii ni yetu sote na haki ndiyo ulio msingi mkuu wa maisha.
 
Hakuna jipya ndani ya zimwi liitwalo CCM, halikuli ukakwisha, uozo ni uleule tu.
Katiba mpya ndio mwiba wa yote haya, na ndio maana mwendazake hakutaka kabisa kusikia kitu hiki.
Nawatunga katiba ndiyo hao hao
 
Na hiyo ndio dhambi aliyopandikiza marehemu tujitahifi tumuombee.. tuondoe ukanda unaojengeka. Ukabila unaoanza, chuki, k
MIFUMOMOMO/SYSTEMS have never been fair: hatuna namna, bali, ingewezekana Mzee huyu angakaa pembeni asijihusishe na lolote kwakuwa kilichokuwa kinafanyika ni kusafisha yaliyowekwa naye, kwa yeye kukamata hatamu hakika yale yaliyokuwa kero yatarudi maradufu:

Jiulize utitiri wa private bandari kavu zilivyokuwa kichaka cha kupiga hela,
Jiulize mwendo wa kinyonga wa kutekeleza miradi huku ikiwa over estimated?.

Hatuna namna ila Mungu asipotupigania tutaenda kusiko takiwa. Tunamwamini Mungu wa kweli, tutashinNa
 
Hujaelewa mkuu. List ya pili ni kuonyesha wale wa mwanzo ni bora zaidi ya hawa waliokuwa karibu na jiwe.

Soma taratibu uelewe.

Au nasema uongo ndugu zangu?
Sawa nimekuelewa
 
MIFUMO/SYSTEMS have never been fair: hatuna namna, bali, ingewezekana Mzee huyu angakaa pembeni asijihusishe na lolote kwakuwa kilichokuwa kinafanyika ni kusafisha yaliyowekwa naye, kwa yeye kukamata hatamu hakika yale yaliyokuwa kero yatarudi maradufu:

Jiulize utitiri wa private bandari kavu zilivyokuwa kichaka cha kupiga hela,
Jiulize mwendo wa kinyonga wa kutekeleza miradi huku ikiwa over estimated?.

Hatuna namna ila Mungu asipotupigania tutaenda kusiko takiwa. Tunamwamini Mungu wa kweli, tutashinda

Kufanya kosa si kosa bali kurudia kosa.

Ya Chatto inc. yako fresh sana machoni petu.

Ya Corona nayo tumeyaona yangali mno fresh.

Ndugu zetu wasukuma wametuangusha sana.

JK anayo nafasi ya kututoa kimasomaso.

Kwenye hilo kwa hakika tuko pamoja naye.
 
Tanzania mpya inakuja jombi macho yetu kwa mzee wa kaya JK anayo nafasi ya kutupa raha.
Kwa hiyo kikwete ndiye unategemea akuletee Tanzania mpya? Mbona hiyo Tanzania mpya alishindwa kuileta kipindi akiwa rais? Wewe ni ngumbalu mkondo B! Usijiabishe mbele ya Kadamnasi ficha japo ufinyu wa uwezo wako wa kufikiri.
 
Vijana wenyewe wako wapi? Una maana kina:

1. Jaffo
2. Kokote
3. Makinda
4. Nape
5. Pole pole
6. Bashiru
7. Mwigulu
8. ??

Nani labda?

Kumbuka inabidi awe CCM preferable asiwe Chatto Inc.

Au nasema uongo ndugu zangu?
Kwani Polepole naye ni kijana? Mie hata sielewi kama yupo kwenye uzee au ujana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom