Mzee Kikwete, leo ndiyo leo; msituangushe

Mzee Kikwete, leo ndiyo leo; msituangushe

Wewe ulifikia hatua mpaka ya kutabiri kuwa tanzania itatokea lock down.
Ulipoona magufuli kagoma ulimlaumu sanaaa vipi leo umebadilika?

Kukumbusha katika kumlilia hali mkuu na labda angesikia leo angekuwa hai ni huu:

Inakusaidia nini kujaribu kuzuia yasiyokuwapo?

Au wewe unadhani VP yupo angefaa zaidi?

Msimamo wetu ni kwenye list ya outsiders wa Magufuli. Yeyote yule. Bora kujaribu zimwi jingine.

Hawa wasukuma wapumzike kwanza.

Au wewe msukuma nini jombi?
 
Kwani sio wewe uliyesema unataka LOCKDOWN?

Mh. Rais mstaafu Jakaya Kikwette tunayo matumaini makubwa kwenu kuwa ule muda ambao taifa hili limeusubiri mno hatimaye umewadia.

Ni wazi kuwa kila mtu katika nchi hii angalipendelea tuishi sote kwa usawa na haki. Utashi wa viongozi wa juu katika kufanikisha hayo ni jambo la muhimu sana.

Kufanya maamuzi magumu yatakayorejesha imani ya wananchi kwa nchi yao itakuwa jambo la msingi mno kwa sasa labda kuliko jambo lolote lile.

Pana watu wakiwamo watia nia wengi waliojaribu kuutaka urais na kura kuwa hazikutosha hali nafasi ni moja wakiwamo akina:

1. Asha Rose Migiro
2. Mzee Mwandosya
3. Bernard Membe
4. Mizengo Pinda
5. Frederick Sumaye
6. Edward Lowassa
7. Abdulhaman Kinana
8. Philip Mangula
9. Anna Mghwira
10. Dkt. Slaa
11. Dkt. Nchimbi
12. Nk nk

Watu ambao hawakuwamo ndani ya establishment ya sasa au wale waliokuwa na maoni tofauti kuhusiana na establishment ya sasa kwa hakika wangetufaa sana.

JK tupeni raha kwa kuandaa mustakabala mwema utakaotuletea mwanzo mpya.
Wewe ni Mchawi na Mnafiki ,adui wa Taifa. Yaani unataka Kikwete akuchagulie kiongozi? Wewe una akili kweli? Kama unampenda sana kikwete si ukanywe naye Kahawa? Mafisadi mnaanza kufurahi mkijua mnarudi kuibia wananchi.
 
Kwani Polepole naye ni kijana? Mie hata sielewi kama yupo kwenye uzee au ujana

Mkuu tufanye je VP atakuwa mtanzania bara na kutokea CCM. Hawezi VP kutoka mbinguni.

Vijana ndiyo kama hao. Wazee ndiyo wale. Wapo waliokuwa karibu sana na jiwe na wapo waliokuwa nje. Pia wapo waliowahi kutofautiana naye kimawazo hadharani.

Humo ndimo tunamwomba mzee mkwere kutotuangusha.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Ccm mpya kama mali ya familia kwishnei mjomba mwenyekiti mtoto wa dada mwenyekiti wanaamua tu wapi wapeleke maendeleo wapi wasipeleke mfano kaskazini wameteswa sana na kunangwa utadhani sio walipa kodi.
Wahamiaji haramu wakawa na sauti na haki kuliko wasugua benchi, bashiru, polepole wasiokijua chama sijui walikotwa wapi ndio wakapewa rungu na funguo za kitabu cha kwaya huku wakiwa madalali wa kununua wapinzani njaa na kuwapa nafasi hata kwa kumwaga damu za ndugu zetu.
Ccm irudi kwenye msingi wake iwe mali ya wanachama na sio mali ya familia.Heri james piga chini hakushinda nafasi hio bali ni maagizo toka kwa mjomba.
Chama kilifikia pabaya Sana.
 
Mh. Rais mstaafu Jakaya Kikwette tunayo matumaini makubwa kwenu kuwa ule muda ambao taifa hili limeusubiri mno hatimaye umewadia.

Ni wazi kuwa kila mtu katika nchi hii angalipendelea tuishi sote kwa usawa na haki. Utashi wa viongozi wa juu katika kufanikisha hayo ni jambo la muhimu sana.

Kufanya maamuzi magumu yatakayorejesha imani ya wananchi kwa nchi yao itakuwa jambo la msingi mno kwa sasa labda kuliko jambo lolote lile.

Pana watu wakiwamo watia nia wengi waliojaribu kuutaka urais na kura kuwa hazikutosha hali nafasi ni moja wakiwamo akina:

1. Asha Rose Migiro
2. Mzee Mwandosya
3. Bernard Membe
4. Mizengo Pinda
5. Frederick Sumaye
6. Edward Lowassa
7. Abdulhaman Kinana
8. Philip Mangula
9. Anna Mghwira
10. Dkt. Slaa
11. Dkt. Nchimbi
12. Nk nk

Watu ambao hawakuwamo ndani ya establishment ya sasa au wale waliokuwa na maoni tofauti kuhusiana na establishment ya sasa kwa hakika wangetufaa sana.

JK tupeni raha kwa kuandaa mustakabala mwema utakaotuletea mwanzo mpya.
Mafisadi wajitangaza rasmi kurudi, kama sio sasa hivi basi 2025. Eti wanakaa mkao wa kula.

Tanzania kamwe hairudi tena huko, tumeshaonjeshwa asali ya maendeleo haturudi nyuma ni mbele kwa mbele tu. Mama sukuma jahaza vizuri bila kutetemeshwa. Kundi la wezi unalifahamu, hata likiomba toba mara ngapi, usilipe nafasi katika uongozi wako. Wapige pini tu.
 
Ya Corona nayo tumeyaona yangali mno fresh.

Ndugu zetu wasukuma wametuangusha sana
Huyo mwingine si mbabala wa wasukuma, alituangusha na kutupeleka 100 years back, watu wake walitaka 10% kwenye kila jambo.matokeo yake wasukuma wakakosa usafiri wa kuja huko kwenu kwakuwa mlikuwa na malori na mabasi mkaona ndege si hoja ; treni si hoja, vivuko si hoja nk. Tulikosa umeme kisa nyie mnauza generator na mafuta, mkaruhusu wahuni wafungulie maji ya mabwawa ili tukose umeme. mriruhusu udhaifu wa bandari na mifumo yake kwakuwa mmejenga ICT
 
Wewe ni Mchawi na Mnafiki ,adui wa Taifa. Yaani unataka Kikwete akuchagulie kiongozi? Wewe una akili kweli? Kama unampenda sana kikwete si ukanywe naye Kahawa? Mafisadi mnaanza kufurahi mkijua mnarudi kuibia wananchi.
Kuna awamu zimepigwa kama awamu hii iliyopita.Jiulize kama walikuwa wasafi why walizuia uhuru wa habari Ili madudu yao yasijulikane.Andaa masikio yako ngoja ipite 40 kwanza.
 
Kwani sio wewe uliyesema unataka LOCKDOWN?

Lockdown ni mbinu sahihi sana ya kupambana na Corona. Kumbuka Corona inahitaji mikusanyiko watu kusambaa.

Lockdown itafanya mikusanyiko kutoweka.

Hata hivyo lockdown si njia pekee japo ni njia bora zaidi.

Umenisoma mjingawewe?
 
Mafisadi wajitangaza rasmi kurudi, kama sio sasa hivi basi 2025. Eti wanakaa mkao wa kula.

Tanzania kamwe hairudi tena huko, tumeshaonjeshwa asali ya maendeleo haturudi nyuma ni mbele kwa mbele tu. Mama sukuma jahaza vizuri bila kutetemeshwa. Kundi la wezi unalifahamu, hata likiomba toba mara ngapi, usilipe nafasi katika uongozi wako. Wapige pini tu.
Nitafute tupate ile kitu roho yako inapenda kwa bill yangu
 
Watanzania kwa nini tuko wepesi sana kusahau chanzo cha haya yote??? ina maana hamjui tatizo liko wapi??? Nyerere pamoja na kujua shida iko wapi aliiacha hivyo hivyo, Mwinyi n Mkapa wala hawakushughulika na chanzo cha tatizo, kikwete alijaribu lakini aliambiwa akashindwa kuchanganya na za kwake.
 
Ndo nimekuuliza mbona haumwambii samia ?
Lockdown ni mbinu sahihi sana ya kupambana na Corona. Kumbuka Corona inahitaji mikusanyiko watu kusambaa.

Lockdown itafanya mikusanyiko kutoweka.

Hata hivyo lockdown si njia pekee japo ni njia bora zaidi.

Umenisoma mjingawewe?
 
Huyo mwingine si mbabala wa wasukuma, alituangusha na kutupeleka 100 years back, watu wake walitaka 10% kwenye kila jambo.matokeo yake wasukuma wakakosa usafiri wa kuja huko kwenu kwakuwa mlikuwa na malori na mabasi mkaona ndege si hoja ; treni si hoja, vivuko si hoja nk. Tulikosa umeme kisa nyie mnauza generator na mafuta, mkaruhusu wahuni wafungulie maji ya mabwawa ili tukose umeme. mriruhusu udhaifu wa bandari na mifumo yake kwakuwa mmejenga ICT

Tumepita mifumo mwili hapa. Yaliyotokea Chatto tunayajua.

Kuna viwanja vya ndege vya kimataifa huko. Kuna mbuga za wanyama. Lami zao tunazijua. Kuna madaraja ya Busisi huko. Nk nk.

Mabaya ya Kikwette kama ulivyo ya Magufuli hatuyataki.

Hatutaki Corona, nyungu wala siasa za NIMRI.

Tunataka mwanzo mpya!
 
usitegemee lolote la maana kutoka kwenye hiko kikundi cha wapigaji.
 
walizuia uhuru wa habari Ili madudu yao yasijulikane
umenikumbusha kauli ya Kingunge Gombale Mwiru aliyoitoa alipoulizwa kuwa "kwanini Serikali inabana Uhuru wa vyombo vya habari?", alijibu kuwa "Uhuru wako(mwanahabari) unaishia pale ambapo uhuru wa mwenzio unaanzia".

In some cases vyombo vya hbari ndiye adui mkuu wajamii
 
Ndo nimekuuliza mbona haumwambii samia ?

Mabandiko yangu yote umeyaona? Uzi huu je uliona?

Chatto wazima lakini?
 
Tuliza kichwa kakudanganya nani huyu hayati aliletwa na nani?
Magufuli hakuletwa na mkwere, huyu mkwere alimtaka Membe!! Jiwe alilijua hilo na ndio maana alimpiga spana asimuinfluence katika maamuzi yake! Acha uongo wako.
 
Tunataka atakae shikilia pale alipoishia magufuri, tulisha zoea kuchapa kazi tulisha zoea kulipa kodi, teyar tunajua sisi ni matajiri na vijana wamejityuni kukaa na kuchapa kazi hivyo hatutaki kurudi nyuma tunahitaji atakae tupeleka mbele zaidi na Sio kurudi nyuma

Makongoro Nyerere anafaa zaidi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom