Mkuu, ni watu wachache tu watakuelewa - hivi sasa kuna crusade kubwa yenye lengo la kumzuria mambo, kumpaka matope and all sorts of innuendos!! Hawataki mzalendo mwenye msimamo, ambaye hana vikundi,hana simile na mafisadi waliokuwa wamepora mali za chama (hao ndio wanampiga vita kweli kweli) kwa kumzulia story zisizo kuwa na kichwa wala miguu.
Hali ilivyo sasa Taifa letu lina itaji Makamu ambaye anafuata to the letter filosofia za JMP na Kambarage,mwenye msimamo tajwa hapo juu ndie angekuwa ideal wa kusaidiana na Rais S. S. Hassan kunyoosha nchi ili tusirudi tena kwenye zama za awanu zilizopita.