Mzee Kikwete, leo ndiyo leo; msituangushe

Mzee Kikwete, leo ndiyo leo; msituangushe

Unategemea JK akupe raha? JPM alionesha jinsi awamu ya 4 na 3 zilivyozingua halafu bado unataka kurudi nyuma.
Alikuwa anafanya propaganda.

Alikuwa anapotosha ukweli.

Kama ulikuwa unamwamini,uwezo wako wa kuchanganua masuala utakuwa mdogo mno!

Jambo la kusikitisha,kama ilivyo kawaida ya madikteta,alikuwa amefanikiwa kuwabrainwash wananchi wengi kupitia udhibiti wa vyombo vya habari.
 
Chatto inc. mmeshaanza kulia na kusahau meno? Na bado!
Karibu, niko chato, kazi inaanza kabla ya kutupia mchanga wa mwisho kisha itaendelea, sfari hii kunahaja yaa kupimana nguvu. Hakuna kula matapishi, kila mtu atakula alikopeleka mboga
 
Ila aliletwa na mstaafu

Mtu aliyemleta Magufuli ni marehemu Ben Mkapa!!! Mpende msipende; mkwere aliweka karata zake kwa Asha Rose. January na Membe!!! Akakosa wote na sasa anataka kulipiza kisasi kwa kumuingiza NCHIMBI!!!! Mzee Mangulla has nothing to lose ila heshima yake aliyojijengea nchini hivyo asiyumbishwe na hawa wanamtandao kama walivyomyumbisha marehemu Mkapa akakiuka kanuni ya kutofungua mafaili ya ya makina mzee Mhando[ kuhusu uadilifu wa wagombea] ambamo uuzo wa şifa baya za wagombea wengine ziliainishwa; na kama Mkapa asingekiuka ile kanuni mkwere asingepata Urais kwani hakuwa na sifa za kuteuliwa, alikuwa mchafu kimaadili!!!

Mzee Mangulla fuata taratibu za chama huyo mkwere ana ajenda zake ya kifisadi wala usiyumbishwe!! Hamtaki Bashiru kikaoni kwasababu zake binafsi na sio kwa sababu za kiutaratibu!!!
 
Karibu, niko chato, kazi inaanza kabla ya kutupia mchanga wa mwisho kisha itaendelea, sfari hii kunahaja yaa kupimana nguvu. Hakuna kula matapishi, kila mtu atakula alikopeleka mboga

Bakieni huko huko mlikopeleka mboga.

Chatto Inc. kwetu bora ukoma!

Utakuwa umenisoma vilivyo.
 
Mtu aliyemleta Magufuli ni marehemu Ben Mkapa!!! Mpende msipende; mkwere aliweka karata zake kwa Asha Rose. January na Membe!!! Akakosa weten na sasa anataka kulipiza kisasi kwa kumuingiza NCHIMBI!!!! Mzee Mangulla has nothing to lose ila heshima yak aliyojijengea chini hivyo asiyumbishwe na haha wanamtandao kama walivyomyumbisha marehemu Mkapa akakiuka kanuni baa kutofungua mafaili ya ya makina meze Mhando ambamo uzo wa wagombea engine ulikuwemo na kama Mkapa asingekiuka ile kanuni mkwere asingepata Urais!!! Mzee Mangulla fuata taratibu za chama huyo mkwere ana agenda fake ya kifisadi wale usiyumbishwe!!

Wanasema ngoma inogile.
 
Alikuwa anafanya propaganda.
Alikuwa anapotosha ukweli.
Kama ulikuwa unamwamini,uwezo wako wa kuchanganua masuala utakuwa mdogo mno!

Jambo la kusikitisha,kama ilivyo kawaida ya madikteta,alikuwa amefanikiwa kuwabrainwash wananchi wengi kupitia udhibiti wa vyombo vya habari.
Alikuwaa anafanya propaganda juu ya nini?, sema unachotaka kusema kama siyo kujaribu kuwasemea walionufaika na mateso ya watanzania waliyosababishwa na JK and co.

Ukweli upi alipotosha: kwamba bandari haikuwa shamba la bibi?, kwamba maswahiba wa wa JK hawakuwa wanapiga?
 
Mh. Rais mstaafu Jakaya Kikwette tunayo matumaini makubwa kwenu kuwa ule muda ambao taifa hili limeusubiri mno hatimaye umewadia.

Ni wazi kuwa kila mtu katika nchi hii angalipendelea tuishi sote kwa usawa na haki. Utashi wa viongozi wa juu katika kufanikisha hayo ni jambo la muhimu sana.

Kufanya maamuzi magumu yatakayorejesha imani ya wananchi kwa nchi yao itakuwa jambo la msingi mno kwa sasa labda kuliko jambo lolote lile.

Pana watu wakiwamo watia nia wengi waliojaribu kuutaka urais na kura kuwa hazikutosha hali nafasi ni moja wakiwamo akina:

1. Asha Rose Migiro
2. Mzee Mwandosya
3. Bernard Membe
4. Mizengo Pinda
5. Frederick Sumaye
6. Edward Lowassa
7. Abdulhaman Kinana
8. Philip Mangula
9. Anna Mghwira
10. Dkt. Slaa
11. Dkt. Nchimbi
12. Nk nk

Watu ambao hawakuwamo ndani ya establishment ya sasa au wale waliokuwa na maoni tofauti kuhusiana na establishment ya sasa kwa hakika wangetufaa sana.

JK tupeni raha kwa kuandaa mustakabala mwema utakaotuletea mwanzo mpya.
Sory mkuu namba 12 hivi siku hizi yukogo wapi
 
Labda Prof. Mark Mwandosya hapo.
 
Huyu Kikwete na kundi lake si ndo kidogo waiue CCM? Leo mnajisahaulisha?
Kwani kama CCM ingekufa na Tanzania ingekufa?

Tunataka viongozi wanaoheshimu utawala wa sheria na demokrasia.

Hatutaki kutawaliwa kibabe, kutukanwa na kufokewa kama watumwa.

Hatutaki kutawaliwa,tunataka kuongozwa.
 
Mh. Rais mstaafu Jakaya Kikwette tunayo matumaini makubwa kwenu kuwa ule muda ambao taifa hili limeusubiri mno hatimaye umewadia.

Ni wazi kuwa kila mtu katika nchi hii angalipendelea tuishi sote kwa usawa na haki. Utashi wa viongozi wa juu katika kufanikisha hayo ni jambo la muhimu sana.

Kufanya maamuzi magumu yatakayorejesha imani ya wananchi kwa nchi yao itakuwa jambo la msingi mno kwa sasa labda kuliko jambo lolote lile.

Pana watu wakiwamo watia nia wengi waliojaribu kuutaka urais na kura kuwa hazikutosha hali nafasi ni moja wakiwamo akina:

1. Asha Rose Migiro
2. Mzee Mwandosya
3. Bernard Membe
4. Mizengo Pinda
5. Frederick Sumaye
6. Edward Lowassa
7. Abdulhaman Kinana
8. Philip Mangula
9. Anna Mghwira
10. Dkt. Slaa
11. Dkt. Nchimbi
12. Nk nk

Watu ambao hawakuwamo ndani ya establishment ya sasa au wale waliokuwa na maoni tofauti kuhusiana na establishment ya sasa kwa hakika wangetufaa sana.

JK tupeni raha kwa kuandaa mustakabala mwema utakaotuletea mwanzo mpya.
#11
 
#Songea_wadeka#

Msemakweli ni mpenzi wa Mungu #1 - #13 utakuwa mwanzo mzuri.

Eeh mola wetu endelea kuzisikia sala zetu sisi waja wako unaotuona vyema hadi mioyoni mwetu.
 
Wanabodi nafasi ya VP ni ya mtu mtulivu, msikivu, mnyenyekevu na mzoefu wa uongozi, ambae amekwepa mishale mingi. Hawa vijana wataanza kutuna zaidi na kuingilia majukumu yasiyowahusu kupelekea kuleta taharuki.
Mzeee ni Bora zaidi. Na nionavyo Mimi
. Wasira
. Mwandosya
. Gasia
.nk
 
Baada ya kumaliza kusoma nimejikuta nimekasirika Sana kuona upeo wako wa hali ya chini hivi na nyumbani unategemewa Kama kibaba
emoji848.png
emoji34.png
Very low
 
Wanabodi nafasi ya VP ni ya mtu mtulivu, msikivu, mnyenyekevu na mzoefu wa uongozi, ambae amekwepa mishale mingi. Hawa vijana wataanza kutuna zaidi na kuingilia majukumu yasiyowahusu kupelekea kuleta taharuki.
Mzeee ni Bora zaidi. Na nionavyo Mimi
. Wasira
. Mwandosya
. Gasia
.nk

Unayo hoja nzito. Wakiziona hivyo kina JK watakuwa wametutendea haki kweri kweri.
 
Soma nyuzi za huyu ndugu brazaj za mweziwa 3 mwaka jana.
Sikuanza nae leo huyu kujadiliana kuhusu corona .tangu mwaka jana.na alishatabiri kuwa tanzania itaweka lock down.ndo namkumbusha leo.
Yule aliyekuwa anakataa lock down ameshaondoka.
Amshauri wa sasa nae aweke.na ndipo ninapomuuliza brazaj ikiwa samia atakaa lock down WATAMCHUKIA KAMA MAGUFULI?.
YALE MATUSI WALIYOKUWA WAKIMTUKANA MAREHEMU WATAMTUKANA SAMIA?
Kuna mtu Tanzania hii alikuwa anataka lockdown? acha uongo we mzee.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom